ha ha ha!
haya bana......!
hebu toa komments zako kabisa
Unataka maoni ya wanaomiliki au wanaomilikiwa?....Nikitoa maoni ya umiliki....mmiliki ndo zaidi ya vyote, kama alivyosema Acid kabla....
aisee mkuu upo?
Na wewe kuna haja ya kukufanyia training ya kunywa mbege....uachane na mnazi.....well...nipo mkuu...a little to west ila am back..
