Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Wablock wote, kwani shida iko wapi?Naumia sana. Mama Mzazi ni Mmbea Sana na Amekuwa Akinichonganisha na Ndugu Zangu Wengine.
Mara asema Anakuja kunitembelea kumbe ni kunipeleleza ili apate cha kuwaambia ndugu zangu.
Ndugu zangu hawapendi kabisa kuona napiga hatua yoyote tangu nikiwa mdogo hadi leo. Wanatamani niishie kuwa ombaomba kwao. Mama aliugua, wote wakakaa pembeni hawataki kabisa kushiriki kwenye matibabu ya yake. wanamuambia "kijana ana kazi" as if wao sio vijana wake.
Hii hoja ya "Huyo mzazi wako" ndiyo inalea ujinga.πππ pole sana.
Msamehe tu bure, ndio mzazi wako huyo.....sema kuwa makini na unavyoongea nae
Muanzisha uzi sio Muingereza.Hii hoja ya "Huyo mzazi wako" ndiyo inalea ujinga.
Mzazi akikosea anapewa makavu mpaka anakaa sawa.
Waingereza wanasema "You must earn respect, you don't just get it".
tunatumia anonymity. hunijui, sikujuiMambo ya kifamilia hayo. msemee kwa wajomba au babu kama wapo.
nitafanya hivyoKaa nae mbali kata mawasiliano na watu wanaokunyima amani ya moyo.Maisha ni mafupi sana kuna kina mama wanawatoa kafara watoto .
ahsante. sawaπππ pole sana.
Msamehe tu bure, ndio mzazi wako huyo.....sema kuwa makini na unavyoongea nae
sawaHamia mbali ambapo hawawezi kukupata,
hata kwa muda tu,ili waione thamani yako.
ni tabia ya WaafrikaHivi kwanini almost wazazi huwa wanajiona wako sahihi kwa kila jambo?
Ikitokea umewapinga au kuwaelekeza unaonekana huna adabu, unawapangia , huna heshima?
hakuna πWablock wote, kwani shida iko wapi?
ni mambo ya WaafrikaHapo utaambiwa mzazi hakosei
Utadhani yeye sio binadamu