Mama mzazi wa Feisal aitaka TFF itende haki

TFF wanashindwa nguvu na hizi timu 2 kongwe maamuzi mengi yamekuwa yakuzibeba hizi takataka,hata upangwaji wa mechi huwezi kukuta Simba au Yanga zinacheza saa8 jua kali tofauti na ulaya Man utd unaweza kucheza saa 8 au saa9 na ikawa poa..TFF acheni dhulma na Uhuni...mpeni kijana haki yake.
 
Haki Gani Wewe?!, Feisal Sio Mchezaji Wa Kwanza Duniani Kuondoka Kwenye Timu ilhali Ana Mkataba Na Iyo Timu, Ila Kuna Taratibu Sahihi Huwa Zinafuatwa Na Jambo Hukamilika Sasa Sio Anavotaka Kufanya Yeye Mikataba Haivunjwi Kihuni Hivo Kama Alivofanya Eti Unaweka Hela Kwenye Acc Af Unasepa Kwamba Tayari Umevunja Mkataba [emoji16], Mpira Una Taratibu Na Kanuni Zake Za Kufuatwa Na Ndizo Zitakazotumika Kuamua Ishu Yake Na Sio Kwa Kutumia Mihemuko Yenu Na Huruma.
 
Waliomdanganya feisal kwanza walimuhaidi pesa nyingi sana,na wakamdanganya kuhusu suala zima la kesi awaachie wao while kama fei angekua akili angewaambia tu wapeleke ofa yao kwa Yanga
 
Feisal Hakuwa Na Washauri Wazuri Juu Hili Jambo Na Ni Wazi Waliokuwa Wanamshauri Hawazijui Sheria Za Mpira Hata Kidogo…Feisal Ameingia Cha Kike.
 
TFF wanashindwa nguvu na hizi timu 2 kongwe maamuzi mengi yamekuwa yakuzibeba hizi takataka,hata upangwaji wa mechi huwezi kukuta Simba au Yanga zinacheza saa8 jua kali tofauti na ulaya Man utd unaweza kucheza saa 8 au saa9 na ikawa poa..TFF acheni dhulma na Uhuni...mpeni kijana haki yake.
Umekariri wewe...hoja za wakati wa nyerere...poor education, poor infrastructure...

Hili la muda wa mechi za simba na yanga...mbona lishaelezewa sana...ni kwamba...ni timu zenyewe zinazocheza na simba na yanga kwa sababu za kimapato...hawataki wacheze muda huo...mashabiki wengi watakuwa bado makazini...
 
Tu
Haki Gani Wewe?!, Feisal Sio Mchezaji Wa Kwanza Duniani Kuondoka Kwenye Timu ilhali Ana Mkataba Na Iyo Timu, Ila Kuna Taratibu Sahihi Huwa Zinafuatwa Na Jambo Hukamilika Sasa Sio Anavotaka Kufanya Yeye Mikataba Haivunjwi Kihuni Hivo Kama Alivofanya Eti Unaweka Hela Kwenye Acc Af Unasepa Kwamba Tayari Umevunja Mkataba [emoji16], Mpira Una Taratibu Na Kanuni Zake Za Kufuatwa Na Ndizo Zitakazotumika Kuamua Ishu Yake Na Sio Kwa Kutumia Mihemuko Yenu Na Huruma.
Toa mifano ya hao wachezaji waliofanya uhuni kama wa Feisali tuone
 
TFF wanashindwa nguvu na hizi timu 2 kongwe maamuzi mengi yamekuwa yakuzibeba hizi takataka,hata upangwaji wa mechi huwezi kukuta Simba au Yanga zinacheza saa8 jua kali tofauti na ulaya Man utd unaweza kucheza saa 8 au saa9 na ikawa poa..TFF acheni dhulma na Uhuni...mpeni kijana haki yake.
Utopolo ndio wanabebwa sio Simba Sc, hao mbumbumbu wa sheria FC wana bahati sana.
 
Haki Gani Wewe?!, Feisal Sio Mchezaji Wa Kwanza Duniani Kuondoka Kwenye Timu ilhali Ana Mkataba Na Iyo Timu, Ila Kuna Taratibu Sahihi Huwa Zinafuatwa Na Jambo Hukamilika Sasa Sio Anavotaka Kufanya Yeye Mikataba Haivunjwi Kihuni Hivo Kama Alivofanya Eti Unaweka Hela Kwenye Acc Af Unasepa Kwamba Tayari Umevunja Mkataba [emoji16], Mpira Una Taratibu Na Kanuni Zake Za Kufuatwa Na Ndizo Zitakazotumika Kuamua Ishu Yake Na Sio Kwa Kutumia Mihemuko Yenu Na Huruma.
Bush lawyers mnadanganyana sana huku, huku vichwa vyenu mmeficha kwenye mchanga, mnavyobebwa na TFF ajabu mpaka leo mnajidai hamuoni!
 
Waliomdanganya feisal kwanza walimuhaidi pesa nyingi sana,na wakamdanganya kuhusu suala zima la kesi awaachie wao while kama fei angekua akili angewaambia tu wapeleke ofa yao kwa Yanga
Kama vile ulikuwepo wakidanganyana, utopolo bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Na kuna wajinga wenzio wanakuamini🫣🫣🫣
 
Hii kesi ingekua inahusu timu nyingine ndogo against mchezaji wao anayetakiwa na Yanga ingekua ishaisha kitambo na mchezaji angeshatua Yanga
 
Huyo mama anapenda sana kujianika mbele ya vyombo vya habari au ndo anajitengenezea soko!!!......matokeo yake atakuja kumdhalilisha mtoto wake
 
Mama ana uchungu na mwanae lakini nahisi hana ushauri mzuri kuhusu haya mambo, ana force kuwa manager wa asiyoyajua. Bila kujijuwa anamharibia mwanae badala ya kumtegenezea

Ashauriwe kufata sheria na kanuni na si huruma. Pesa hazina huruma.
 
Akihojiwa na chombo kimoja cha habari Mama mzazi wa Mchezaji Feisal Salum Fei Toto amelitaka shirikisho la Mpira wa Miguu kutenda haki hapo kesho.

View attachment 2534235
Anataka haki gani tena, na wakati mtoto wake amechagua njia ya kihuni? Kwa nini alichagua njia ya mkato kuvunja mkataba wake?

Aendelee kufurahia maisha huko kwao Zanzibar, huku klabu ikiendelea kumlipa mshahara wake kila mwezi mpaka hapo mwakani mkataba wake utakapofikia tamati.
 
Huyo mama anapenda sana kujianika mbele ya vyombo vya habari au ndo anajitengenezea soko!!!......matokeo yake atakuja kumdhalilisha mtoto wake
Kama Media zinamfuata kumhoji asiongee ?
Anaongea kwa uchungu kama mzazi acheni unazi wa hovyo!!
TFF iweke mkataba wazi watu wauone kama kweli hicho kipengele wanachosimamia kina Feisal ni kweli au uongo,Halafu wale washenzi wanaovaa uchi mbona huwa hamsemi kama wanatafuta soko!Mama wa watu kajistiri anaongea maneno yasiyovunja ustaarabu wewe unamtusi na kumvujia heshma kisa Yanga....iko siku nawe mama yako atadhalilishwa kama ulivyofanya.
 
Utopolo ndio wanabebwa sio Simba Sc, hao mbumbumbu wa sheria FC wana bahati sana.
Mkuu ukifuatilia soka la Bongo Simba na Yanga zinanguvu kubwa sana hadi ndani ya Serikali sembuse KWA Tifua Tifua.
 
Back
Top Bottom