Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Uyo mama anatumiwa na wakina jemedari na wao wanapata pesa kupitia mitandao yao uko, Mambo ya kisheria ayanaga huruma, anasema fei aliteseka sana sijui alitesekaje? Alikuwa ananyimwa chakula kambini? Alikuwa alipwi mshahara wake? Alikuwa atimiziwi mahitaji yake? Uyu fei amezungukwa na watu wasiojitambua na ndio wanaomshauri sasa asipojiangalia atapotea kwenye ramani ya soka, Anadhani anaikomoa yanga ajui yanga ni taasisi aiwezi kuyumbishwa na mtu mmoja na ndio maana tokea fei atokomee kusikojulikana shughuli za taasisi zinaendelea kama kawaida na timu inaendelea kupata mafanikio bila yeye, Yeye aendelee kukaa uko mpaka mwaka kesho mkataba wake utakapoisha, CAS ipo kwanini wasiende uko kudai haki yao wanayoona wameporwa? Waache uhuni wa kipumbavu