uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
TFF wanashindwa nguvu na hizi timu 2 kongwe maamuzi mengi yamekuwa yakuzibeba hizi takataka,hata upangwaji wa mechi huwezi kukuta Simba au Yanga zinacheza saa8 jua kali tofauti na ulaya Man utd unaweza kucheza saa 8 au saa9 na ikawa poa..TFF acheni dhulma na Uhuni...mpeni kijana haki yake.
Kwa kutumia chombo gani cha kutoa haki? Hii video ya huyu Mama au Sheria?