ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Una upungufu wa akili yaani TFF waanze kuanika mikataba ya wachezaji hadharani?Kama Media zinamfuata kumhoji asiongee ?
Anaongea kwa uchungu kama mzazi acheni unazi wa hovyo!!
TFF iweke mkataba wazi watu wauone kama kweli hicho kipengele wanachosimamia kina Feisal ni kweli au uongo,Halafu wale washenzi wanaovaa uchi mbona huwa hamsemi kama wanatafuta soko!Mama wa watu kajistiri anaongea maneno yasiyovunja ustaarabu wewe unamtusi na kumvujia heshma kisa Yanga....iko siku nawe mama yako atadhalilishwa kama ulivyofanya.
Acha ubishi kaangalie fixture ya Laliga uone kama Real Madrid na Barcelona hua wanacheza mechi za saa sita mchana ya SpainBiashara za hovyo! Kama kweli mnatakq kufanya biashara katika ligi uwekezaji uwe wa kutosha kila timu inufaike sawa na wengine kama nchi zilizoendelea sio kwa matabaka.....ifikie kipindi kila timu inayoshiriki ligi iwe na mvuto wa kutazamwa na kila mtu nadhani itakuwa ni maendeleo makubwa ya hizo biashara....kama Bongo Movie KWA sasa wamepiga hatua kwenye Tamthilia(series)....kila series inayotoka kwa sasa inamvuta kila mtu kuifutilia tofauti na zamani mf,kama hizo Huba,Nyavu n.k,sasa na huku kwenye soka ifikie kipindi Ihefu vs Singida BS unakuwa mechi ya kutazamwa wasiangalie Timu 2 au 3 tu.
Kuuliza si ujinga.Bush lawyers mnadanganyana sana huku, huku vichwa vyenu mmeficha kwenye mchanga, mnavyobebwa na TFF ajabu mpaka leo mnajidai hamuoni!
Mbona msimu ulipita Morison alishinda zidi ya Yanga. Au tunahesabu ni haki kama Yanga akichemka.TFF wanashindwa nguvu na hizi timu 2 kongwe maamuzi mengi yamekuwa yakuzibeba hizi takataka,hata upangwaji wa mechi huwezi kukuta Simba au Yanga zinacheza saa8 jua kali tofauti na ulaya Man utd unaweza kucheza saa 8 au saa9 na ikawa poa..TFF acheni dhulma na Uhuni...mpeni kijana haki yake.
Alishanda CAS au pale karume?Mbona msimu ulipita Morison alishinda zidi ya Yanga. Au tunahesabu ni haki kama Yanga akichemka.
Unafuatilia mpira kweli ww?Alishanda CAS au pale karume?
Uji au Ugali chotara mzigo unaweka dona kidogo sukari unaweka kijiko kimoja.....wazenji uji wanaita Ugali sio ugari.Hivi ugali na sukari unaliwaje [emoji23][emoji23][emoji23]
Sifatilii mpira nafatilia football au kabumbu.Unafuatilia mpira kweli ww?
Alishinda pale TFF,Yanga ikaamua kwenda CAS na CAS akashinda tena.