Ndiyo maana nimesema mie kuna kitu humo ndani hakiko sawa itakuwa ni Siri yao hawajakiweka wazi.Wamama wa kinyakyusa wana shida saana.
Tafuta hela zako mkuu watoto sio uwekezaji , huyo mama ajiulize je yeye mama yake anamsaidia?Kama mama/baba angeona ya kesho mbeleni kuwa mtoto atamgeuka atamuua, atamdhalilisha angeitoa hiyo mimba asiteseka. Watoto wameharibikiwa.
Usinyooshee kidole wengine sababu haupo kwenye maisha yao, hujui kwa nini wamefikia hapo.Embu tunzeni wazazi wenu kuepusha aibu
Sasa mzazi gani who lack of self awareness na kwenda mitandaoni badala aongee na so called mwanae? It doesn't makes things better.Saidien wazaz wenu
Yaani huwezi jua yaliomo uvunguni mwaoTafuta hela zako mkuu watoto sio uwekezaji , huyo mama ajiulize je yeye mama yake anamsaidia?
Anaye amua mtu kuishi au kufa kwa mujibu wa dini zenu ni mama au Mungu ?Wewe ndiye Martha Mwaipaya ? Mbona unamtukana Mama yako ? Uchungu wa mtoto huujui. Kumkana mama/baba aliyekuzaa ni laana. Huyo mama angeweza kuamua Martha afe au aishi alipokuwa tumboni au mdogo. Amsingizie iweje tena mbele ya media. Nguvu za giza na mapepo zimejaa kwenye ulokole. Martha has been taken by demons.
Nikweli wamama wa kinyakyusa ni tatizo kwa watoto wao ...wanataka watoto wawa abudu.Wamama wa kinyakyusa wana shida saana.
Atakama iweje uwezi mtelekeza mzazi yeye hukuwai kumkosea?Kama hujawahi fikwa na mtu wakaribu tulia kabisa
Hapo mnampa majukumu makubwa waziri, hayo Mambo wamalize kifamilia kwa kuhusisha ndugu wengine.Hebu tumsikilize huyu mama wana JF, hivi kweli vilio vya Beatrice na vya mama yake vinaweza kuwa vya uongo?
Kwamba wanamsema Martha ili iweje?
Amemwomba sana Mheshimiwa Waziri Doroth Gwajima aingilie, amsaidie kurudisha umoja kwenye hiyo familia.
Sawa ila wasanii wengi hawatunzi wazazi wao wapo bise na marafikiNi mtazamo binafsi chief, kama ilivyo kwako.
Shida inakuja ni kuwa wanajina yaani wanajulikana ila ukiondoa jina ni sawa hakuna tofauti na wale wanaokuja kulalamika ofisiniSasa mzazi gani who lack of self awareness na kwenda mitandaoni badala aongee na so called mwanae? It doesn't makes things better.
Atakama amtunze mzazi wewe mama ako kipindi unalia usiku alikuwa anakupeleka nyumba ya jirani akubembeleze?Usinyooshee kidole wengine sababu haupo kwenye maisha yao, hujui kwa nini wamefikia hapo.
Lililo Wazi baada ya speech ya Mama ni kwamba, Martha na Joan ni wapenzi. Kama hata mapenzi Kwa Mtoto yamekufa basi tena.Hii familia naona inatrend tu, hakika shetani akishawavamia hakuna rangi mtaacha ona. Utafikiri watoto wa kambo
Familia ya mama Martha ndio familia Bora saaaaana mpaka waziri aingilie kati, ni familia ngapi Tanzania Zina mivutano hata huo ni mwepesi kabisa, wasipende ku trend na kupata viewers kirahisi hivyo, ya kifamilia wayamalize kifamilia Nchi Ina mambo mengi ya kushughulika nayoHebu tumsikilize huyu mama wana JF, hivi kweli vilio vya Beatrice na vya mama yake vinaweza kuwa vya uongo?
Kwamba wanamsema Martha ili iweje?
Amemwomba sana Mheshimiwa Waziri Doroth Gwajima aingilie, amsaidie kurudisha umoja kwenye hiyo familia.