Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Watu humu mnatetea ujinga tu...imagn mtot umekomaa nae kipnd chote Hadi anajipata afu unaskia anasaidia mtu baki ambaye Hana hata ubini nae...ila we unakula tu msoto ...kibinadamu inauma
 
Wewe ndiye Martha Mwaipaya ? Mbona unamtukana Mama yako ? Uchungu wa mtoto huujui. Kumkana mama/baba aliyekuzaa ni laana. Huyo mama angeweza kuamua Martha afe au aishi alipokuwa tumboni au mdogo. Amsingizie iweje tena mbele ya media. Nguvu za giza na mapepo zimejaa kwenye ulokole. Martha has been taken by demons.
Anaye amua mtu kuishi au kufa kwa mujibu wa dini zenu ni mama au Mungu ?
 
Mwenye picha ya Joan tafadhali! Binti yatima anayeishi na Martha Mwaipaja! Binti anayeaminika na kusikilizwa kwa kila kitu na Martha Mwaipaja! Binti anayeaminika kuwa chanzo kikuu cha hili sakata.

Picha yake tafadhali....!
 
Hebu tumsikilize huyu mama wana JF, hivi kweli vilio vya Beatrice na vya mama yake vinaweza kuwa vya uongo?

Kwamba wanamsema Martha ili iweje?

Amemwomba sana Mheshimiwa Waziri Doroth Gwajima aingilie, amsaidie kurudisha umoja kwenye hiyo familia.
Hapo mnampa majukumu makubwa waziri, hayo Mambo wamalize kifamilia kwa kuhusisha ndugu wengine.
 
Sasa mzazi gani who lack of self awareness na kwenda mitandaoni badala aongee na so called mwanae? It doesn't makes things better.
Shida inakuja ni kuwa wanajina yaani wanajulikana ila ukiondoa jina ni sawa hakuna tofauti na wale wanaokuja kulalamika ofisini
 
Usinyooshee kidole wengine sababu haupo kwenye maisha yao, hujui kwa nini wamefikia hapo.
Atakama amtunze mzazi wewe mama ako kipindi unalia usiku alikuwa anakupeleka nyumba ya jirani akubembeleze?
 
Fam
Hebu tumsikilize huyu mama wana JF, hivi kweli vilio vya Beatrice na vya mama yake vinaweza kuwa vya uongo?

Kwamba wanamsema Martha ili iweje?

Amemwomba sana Mheshimiwa Waziri Doroth Gwajima aingilie, amsaidie kurudisha umoja kwenye hiyo familia.
Familia ya mama Martha ndio familia Bora saaaaana mpaka waziri aingilie kati, ni familia ngapi Tanzania Zina mivutano hata huo ni mwepesi kabisa, wasipende ku trend na kupata viewers kirahisi hivyo, ya kifamilia wayamalize kifamilia Nchi Ina mambo mengi ya kushughulika nayo
 
Back
Top Bottom