Mama mzazi wa Martha Mwaipaja alia kwa uchungu, akithibitisha kuwa mwanae huyo hamsaidii kutokana na mzozo na mdogo wake Beatrice

Atakama amtunze mzazi wewe mama ako kipindi unalia usiku alikuwa anakupeleka nyumba ya jirani akubembeleze?
Martha ni mtu mzima ujue, yeye ndio anajua kwa nini hatoi msaada kwa mama yake. Ni wa kuwaacha kama walivyo mambo ya familia za watu si ya kuyaingilia sababu hakuna ajuae ukweli zaidi ya wao wenyewe.
 
Ukishindwa vita ya Rohoni ndio hutokea vita mwilini...
Samahani mama mchungaji, haya ya kwako hayakuanzia rohoni yakaja mpaka huku??



 
Martha ni mtu mzima ujue, yeye ndio anajua kwa nini hatoi msaada kwa mama yake. Ni wa kuwaacha kama walivyo mambo ya familia za watu si ya kuyaingilia sababu hakuna ajuae ukweli zaidi ya wao wenyewe.
Ila now hakuna watoto sikuizi watoto hawasaidii wazaz wao wanasema sio lazima
 
Haya sawa siwezi kubishia
Kwahy msifanye makosa ya wazaz walio wakosea mka wahukumu kuto kuwasaidia wao pia mliwakwaza lakini hakuna siku walio wai kuwanyamazia kabisa kuweni na huruma
 
Sio lazima kumtunza ni maamuzi yake na roho yake. Je huyo ni Mama yake mzazi ?
Huna akili na mpumbavu kabisa wa mwisho
wewe mama yako kuna siku alisema amechoka kukunyonyesha akakupeleka kwa jirani unyonye?
Usiku ulipokuwa unalia njaa baba yako mda mwingine alikuwa anampiga makofi mama yako ili akunyonyeshe alitokea jirani kuja kumuamsha mama yako akunyonyeshe?
Heshimuni wazazi wenu leo mmekua mnajua kunyoa ndevu mnaona wajinga
 
Ukianza kuishi Kwa kuketegemea watu itakusumbua Sana .

Mtegemee Mungu yeye ndo ataipitisha riziki yako Kwa watu na hao watu watakuletea.

Pia soma Sana neno -Jeremiah 17:5

Kulia mitandaoni ni wrong approach , maana adui yako ataendelea kuona ameshinda.
 
Matusi ya nini tena ?
Wakati mwingine usijihusishe na kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu. Kutoa ni moyo wa mtu na hata huyo Mama kuja kulia mitandaoni kumlalamikia mwanae hamsaidii huo nao ni ujinga tu.

Tatizo lako dogo unajifanyaga Much know kumbe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na bado hujitambui ipo siku ukija kujitambua utajidharau na kujiona mjinga sana. Na nilishawahi kukuambia humu kuna siku.
 
Sikia hakuna mtu atoke uko kwenda kumsaidi mama yako ni jukumu lako wewe kumsaidia ila watoto wasikuizi hawataki
 
Kwahy msifanye makosa ya wazaz walio wakosea mka wahukumu kuto kuwasaidia wao pia mliwakwaza lakini hakuna siku walio wai kuwanyamazia kabisa kuweni na huruma
Namshukuru Mungu sana Sikuwahi kuwa na mzazi ambaye anatoka kwenda kuongea nje, mtoto wake akitereza anamwambia hapo hapo, na walikuwa washauri mpaka Kwa wakwe zao, ukiwapa kila mara Kwa mara lazima akwambie nawewe unajiwekeza ? Sio kutuletea sie kila siku kwanza anza kujenga nyumba sisi maisha tulishaanza kwahiyo walikuwa wazazi.


Sasa kuna mzazi anataka kushindana hapana, umemzaa mtoto wako kakua sio ndiyo uanze kumtesa Kwa mali anayotafuta nyie ndiyo wale vijana awakioa mnaona wake zao wanafaidi kuliko wazazi, sasa nani anamuoaga mzazi wake?
 
Mbaya mnoo Mkuu. Kumtegemea mtu na ninamweleza huyu dogo Mwachiluwi matokeo yake anaishia kunitukana.

Tumeshapitia hizo process na tumeamua kuweka imani zetu kwa Allah na sio mtu yeyote yule. Sometimes unaweza ukaamua ku share maumivu yako kuwatia moyo wengine lakini sio kulalamika. You won't gain anything from complaining.
 
Saidien wazaz wenu
Hao wazazi walishindwaje kujisaidia wao wenyewe?

Mzazi mpumbavu, mvivu na mjinga ambaye Alishindwa kujiandalia maisha yake bora ya uzeeni, Hapaswi kuanza kusumbua sumbua watoto wamsaidie.

Sio wajibu wala jukumu la mtoto kumsaidia mzazi.

Ni wazazi wajinga na wapumbavu pekee ndio hushinikiza watoto wao wawasaidie.
 
Huyo mama hatofanikiwa na huyo Beatrice hatofanikiwa

Wamevunja kanuni za kiroho

Wazinzi wote duniani huwa wanapoteza kibali cha maisha
 
"Mimi ni mama yako mwanangu. Mama Paschal unamjua mwanangu, ndiye mama ambaye nilikuambia wewe alikupokea wakati ninakuzaa wewe mwanangu. Leo unasema mimi SIYO mama yako ?!! ..."

Kwako mkuu Dejane utupe mawili matatu hapa. 😎

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…