Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Martha ni mtu mzima ujue, yeye ndio anajua kwa nini hatoi msaada kwa mama yake. Ni wa kuwaacha kama walivyo mambo ya familia za watu si ya kuyaingilia sababu hakuna ajuae ukweli zaidi ya wao wenyewe.Atakama amtunze mzazi wewe mama ako kipindi unalia usiku alikuwa anakupeleka nyumba ya jirani akubembeleze?