TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

TANZIA Mama Mzazi wa MC Pilipili afariki Dunia kwa ajali

Bodaboda siku ya harusi ya mwanaye? Msiwe mnawaleta wazazi mjini kama hamuwapendi hivyo.

Kubadili nguo salasala ? Tena wewe mgeni bongo.

Ukute ndo hiyo wanasema "Tunataka damu ya uchungu" Ngoja tu tutasikia.
Umenikumbusha Makete!
 
Inasemekana mama yake alikuwa na nguo specific antaka kuivaa ikabidi aifate kwa fundi chap na boda boda maana mda wa kwenda Ukumbini ulishafika.
Aisee [emoji134]
Kumbe ni bodaboda!!
Ila siku ikifika imefika na huja kama mwivi.. though boda zinatenda watu mabaya
 
Halafu kuna mtu nilipomuhadithia mimi na boda boda mbali mbali akanishawishi sana anipandishe eti hata kwa nusu saa tu! 😳 maisha ni matamu sana. RIP mama. Anniversary ya harusi unaisherehekea vipi ikiwa siku hiyo hiyo mama alifariki? Harusi iliendelea baada ya maharusi kufahamu mama mzaa Chema kazimika?
Na Bwana harusi akaenda honeymoon... Eti wakaenda kumpa taarifa akiwa anakata mauno kwa mbuchuchu iliyobarikiwa. Watu wana roho ngumu sana wallah....

Yaani mama yuko kwenye friji wanamwacha mtoto akakate mauno kwanza ndo wampe taarifa....
 
Rip!

Inasikitisha mama wa MC maarufu kupata ajali ya bodaboda tena wakiwa wamepanda mshikaki!
Kuna elements za dharau kwenye post hii,au wewe ni mzito kujiongeza.Wewe hujui board inatutoaga hasa kama kuna foleni na umechelewa unakokwenda? inawezekana siyo kwamba ni suala la uwezo kuwa mdogo bad timing too.Hiv huwezi tuu kujiuliza siku ya harusi ya mtoto wako usafiri usafiri na bodaboda.hata kama huna gari
 
RIP Mama MC Pilipili.

Huyo mwanao asipolia hadi kugalagala, mtokee usingizini na kumtandika makofi manake sote tulimshuhudia alivyokuwa analia wakati wa kumvika pete mchumba wake!
Yupo bize Instagram anapost kwa kwenda mbele utadhan hajafiwa, kamcheki kule wanavyomsema vibaya.
 
Yupo bize Instagram anapost kwa kwenda mbele utadhan hajafiwa, kamcheki kule wanavyomsema vibaya.
Sema unatania!!

Huyu jamaa nilishaacha kumfuatilia tangu alipoonesha ulimbukeni wa kupitiliza kwa wanawake!! Wacha leo nimtembelee!!!
 
Ila binaadamu hapana! Wape kichwa Cha habari Kisha habari wataitengeneza wenyewe.

Wangapi humu wakiwa na haraka wanatumia bodaboda? Au huyo marehemu ndio wa kwanza!?

Au Kuna sehemu imeandikwa watu Fulani ni marufuku kutumia bodaboda?

Na ni Mara ngapi watu wanaficha Jambo fulani kuwaeleza watu kwa muda huo huo kutokana na madhara yatayojitokeza ikiwa wataambiwa ghafla?

Watu wanahukumu Sana jamani.

Kifo kikifika siku yake, kinakuita na unakifuata.
 
Back
Top Bottom