TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

It is said....karma takes 200 yrs to affect,yet something gotta be done whilst karama takes its course.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!
Mfano rahisi:

G Sam umekamatwa kwa kesi ya mauaji uko mahabusu then kesi yako inaendelea mahakamani

Umeoa na una mtoto mmoja, Nyumbani mke wako na mtoto wamepata ajali wako hoi wamelazwa ICU na wew ndo kichwa cha familia unaetegemewa kwa kila ki2.

Hv unadhani mahakama itakuonea huruma eti kwa sababu hiyo?

Hapana! sheria lazima ifuate mkondo wake


Halafu Mkuu kumbebesha hizi lawama ni kujichumia dhambi za bure, coz Mkuu hawezi kuiingilia mahakama ktk maamuzi yake

Wale wanaomuombea laana mkuu, waangalie sana, laana hizo zicje kuwageukia wao bila kujielewa. "dua la kuku halimpati mwewe"


"Mungu hadhihakiwi apandacho mtu ndicho atavuna"

kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kiumbe hai hapa duniani kisicho na ‘life span’. Wanyama, binadamu, ndege; wote hawa wana muda wa kuishi hapa duniani. Lakini kitu cha kushangaza ni kwamba ikitokea mtu kafariki, itatafutwa sababu ya kifo hicho. Pengine huu ni utamaduni wetu, lakini wenzetu wanatushangaa kuendekeza utamamaduni wa namna hii. Hivi kweli binadamu tunaweza kushindana na alichopanga Mungu?
 
Umejitoa ufaham tu, hawez kuingilia kwani Kwa akiri zako aliesema kuwa watu waombe msamaha waachie ni ni nini Kati ya baba yako, mama yako, Mahakama na rais? Jibu swali kenge wewe na je pale aliingilia Nyumba Ya mama yako sio Mahakama? Waliotoka walitoka mahakamani Kwa kutolewa na Mahakama? Hujui yeye ndie alietoa maelekezo Kwa DPP? Au hukuona Wakati yalitangazwa kwenye TV wote tukaona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli

Huyu mama alilia kutokana na mazingira ya kesi anayokabiliwa nayo mwanaye. Aliona kabisa kuwa kuna uonevu dhidi ya mtoto wake.

Mwanzoni ilisemekana Erick alikamatwa kuhusiana na uraia wake; lakini baadaye ilibadilika ikawa ukwepaji wa kodi, uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.

Angekuwa jambazi au mwizi sidhani kama huyo mama angesikitika kiasi hicho.

RIP Mama Erick Kabendera.
 
Vipi kama ikija kuonekana alionewa? Mtamrudishia uhai mama yake?
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina mama wangapi watoto wao wapo jela? Kwahiyo kila mama aombe kwa Rais mtoto wake aachiwe? Sisi tulisikia kilio cha Mama Erick hata hatukuweza kutoa msaada wowote huku tukijua fika msaada wetu pia ulihitajika,Hivi mpaka sasa hatuwezi kujua sababu ya haya yote mpaka tunamtupia lawama mtu asiye husika? Au kwasababu tunafikira mbaya huku tukiaminisha watu kwamba sisi ni wema huku tunajificha kwenye shamba la karanga? Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali anapostahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Iwe Hivyo. AMEEN.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…