NO,Rais wa wanyonge huyu mama alikuomba umuachie mwanae kwani ndo anasimamia matibabu yake masikio ukaweka pamba....apumzike kwa amani na mwanga wa milele umuangazie
Nimepanga kushiriki msiba huu mwanzo mwisho , huyu maana ni sawa na kwamba ameuawaUtawala huu umekunywa damu za watu wengi sana,kumbuka hata Mama Mzazi wa Sugu alifariki kwa mshtuko kutokana na mwanae (Sugu) kuwekwa korokoroni tena bila sababu za msingi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu utawasikia wale wapambe wake akiwemo mtoto pendwa wakisema eti Mh Rais amepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha mama yetu "Mama Erick Kabendera.Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!
Acha tu,,, yupo Mungu msemaji wa MwishoTukisema alaaniwe mpaka kizazi cha nne ni kosa?
Tukisema laana ianzie kwako mpk kizazi chako choote ni kosa?Tukisema alaaniwe mpaka kizazi cha nne ni kosa?
HumanlessRIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Wakina mama wangapi watoto wao wapo jela? Kwahiyo kila mama aombe kwa Rais mtoto wake aachiwe? Sisi tulisikia kilio cha Mama Erick hata hatukuweza kutoa msaada wowote huku tukijua fika msaada wetu pia ulihitajika,Hivi mpaka sasa hatuwezi kujua sababu ya haya yote mpaka tunamtupia lawama mtu asiye husika? Au kwasababu tunafikira mbaya huku tukiaminisha watu kwamba sisi ni wema huku tunajificha kwenye shamba la karanga? Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali anapostahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
.MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Njema kabisa mkuu
Kwani mamaake kauliwa na serikali?jamani uzee na maradhi sema labda pia sononi la mwanae kafa nalo.
aiseeee what a rude comment!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Nayo habari kwani kuna wangapi wamekufa leo ujinga tu huu na uchinganishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele pumbavu ww mahakama hizo za hapo hujawahi pata kesi ukazionja.Wee jinga mahakama gani iamue wakati kila akipelekwa mahakamani wanaambiwa upelelezi bado. Yani mtu anakamatwa mwaka unaisha kila siku upelelezi bado hayo mashtaka aliyafanyia ahera ambako hawawezi kupata ushahidi? Siku nyingine ujinga wako weka pembeni huko!
Kelele,kenge weHili MUNGU analiona, litakuwa hili nalo linalaaana hili au halijui lisemalo hili haya majitu yasiokuwa na familia yasiokuwa na utu yenye ushetani mnayaruhusu vipi kuingia kuchangia Mada Kama hiii iliyoumiza watu mioyo yao? Hivi majitu Kama haya yalizaliwa na nyani au yalizaliwa na binadam? Ukilichunguza jitu Kama hili utakuta Aidha kizazi chake kilikuwa cha ushetani Mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
ningekuwa Pascali nisingecoment kwenye uzi huu😂😂😂nimeishia kucheka tu but R.I.P mama yetu