TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Mbona unatokwa povu kiasi hicho kama malaya aliet***mbwa bure?

Acha kupanic kipumbavu hivo

Hv unayajua makosa ya Kabendera? au unaropoka tuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Karma hata wewe "shakunaku" haitakuacha, usijikoshe ukadhana sisi ni wasahaulifu kiasi hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Erick angekuwa mhalifu kweli,isingekuwa nongwa kwani ingekuwa haki yake...
Lakini kama alishtakiwa kwa mashtaka ya kusingiziwa,tu kwa sababu yakutokubaliana na sera za waliopo madarakani,na wenye mamlaka wakaamua kumkomesha kwa sababu tu haungi mkono sera za wenye nguvu,hakika NI DHAMBI KUBWA KWANI MADHARA YA KUMKOMOA ERICK YAMEPELEKEA MAMA MZAZI KUKOSA HUDUMA NA KUPELEKEA KIFO CHAKE...

Hali hiyo inajenga chuki sio tu kwa ndugu wa Erick,lakini pia kwa raia wengine wenye mioyo ya kibinadamu,chuki hii itakuwa na madhara makubwa kwenye jamii yetu...

Najaribu kutafakari juu ya wooote waliokutana na dhahama zinazoambatana na chuki za kukomoana,na si kwa misingi ya kisheria,tunagawanyika pasipo sababu za msingi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki na amani sasa mwenzio kafiwa mama kwa sononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mujibu wa bro mmija humu ni kuwa Rais halogeki sababu ana ulinzi mkubwa mno wa kiroho kwa kupugiwa kura na mamilioni ya watu...... Nawaza tu je laana pia hazimpati ?
 
Salaam kutoka kwa wauaji zitasaidia nini? Nani anazihitaji salaam za kinafiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…