Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
Igweeh!
Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo haijafunguliwa kuliko kujiamini Kwa kuoa Mwanamke ambaye hukumkuta Bikra.
Ambacho ungetakiwa kuuliza Kwa mshangao ni kuwashangaa wanaume wanaojiamini kwenye mahusiano ilhali walioa Wanawake au wapo na Wanawake ambao hawakuwakuta Bikra.
Rafiki yangu Mama muzungu majibu ndio hayo. Wasalamu!