Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Samia The Killer sio mtu wa kawaida. Sitashangaa kuona hao wamama wenyewe wakitekwa, kama wakipaza sauti sana!..kina Mama waliopotelewa na watoto wao waunganishwe wapaze sauti watoto wao wapatikane. Chadema iwatengenezee hawa kina Mama jukwaa.
Cc Erythrocyte
mama Yake na yule mwandishi a Habari alikufa Magu akakataa kumruhusu akazike mama yake! laana ikamkuta na watu wakafukia ft 6BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.
Wote tumeingia na VPN na badoWapi kaharibiwa ?
Unataka kusemaje?Wote tumeingia na VPN na bado
Machozi ya mwalimu mama Kabendera alipoisihi serikali na vyombo kuhusu Eric KabenderaAnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Mzee wangu wewe upo kila upamde upande wa Mwafwele upo na upande wa HP upo upande wa Morilo upo yaan wewe ni neutral kabisaImenikumbusha ma
Machozi ya mwalimu mama Kabendera alipoisihi serikali na vyombo kuhusu Eric Kabendera
Huyu sio mnafiki kama mama HPTOKA MAKTABA:
Utawala wa awamu ya 5
Imenikumbusha ma
Machozi ya mwalimu mama Kabendera alipoisihi serikali na vyombo kuhusu Eric Kabendera
View: https://m.youtube.com/watch?v=w3FecT6tj-4
Thanks for this 👆🏾 very important advice.
Tunavyunja sheria ukiwemo wewe chawa wa samia unaingia kwa VPN hapa jf,Unataka kusemaje?
we mpuuzi nini? Unauliza nini? Namuuliza nyokweUnamwambia nani sasa?
Pole😅we mpuuzi nini? Unauliza nini? Namuuliza nyokwe
Mimi sipo TanzaniaTunavyunja sheria ukiwemo wewe chawa wa samia unaingia kwa VPN hapa jf,
Lakini unajua unavunja sheria kuwepo humu? Unashindwaje kutii maagizo ya Samia?Mimi sipo Tanzania
Sheria ipi navunjaLakini unajua unavunja sheria kuwepo humu? Unashindwaje kutii maagizo ya Samia?