Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,323
- 10,199
Umesema wakati kabendera anapitia mateso, polepole alikuwa Namba 4.Kukemea au kutokemea hiyo unasema ww,mimi iko kilio cha mama wa polepole kimenikumbusha kilio cha mama kabendera ndio hoja yangu,hayo mengine siyajui
🖕Wewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
Unaandika utopolo tu, emu mueshimu huyo mama maumivu alionayo huwezi kuyaelewa kama huna cha kuchangia kaa kimya usifanye watu wakajua huna akiliWewe ndo utalia na kusaga nywele
Haya maneno yako hayashtui
Kwanza huyo mama ana act tu we huon yani hatii hata huruma 😅
Ukinganisha na mama kabendera enzi zile za HP Akiwa anajiona mungu mtu
Mkiambiwa ukweli mnapanikiUnaandika utopolo tu, emu mueshimu huyo mama maumivu alionayo huwezi kuyaelewa kama huna cha kuchangia kaa kimya usifanye watu wakajua huna akili
Pole😆
Hebu tuwe na adabu na hata punje ndogo tu ya akili. Hivi wewe mtoto wako, hata kama angekuwa jangili kubwa, akishikwa, kuteswa na labda kuuawa kabisa, hutaacha kumstukia? Kama akishikwa na kufikishwa kwenye vyombo vya usalama na kushughulikiwa ipasavyo, hapo utaridhika. Siyo kuvunjiwa mlango usiku, kupigwa na kutekwa na labda kuuawa kabisa, wakati hajafanya kosa lo lote zaidi ya kutoa mawazo yake tu. Kumuita mama huyu 'muigizaji' ni dharau kubwa lisilo na busara. Laiti kama wangekuja kukufanyia hivyo kwa mtoto wako.Mama huyu ni muigizaji mzuri aisee🤣
As you judge, you shall be judgedHebu tuwe na adabu na hata punje ndogo tu ya akili. Hivi wewe mtoto wako, hata kama angekuwa jangili kubwa, akishikwa, kuteswa na labda kuuawa kabisa, hutaacha kumstukia? Kama akishikwa na kufikishwa kwenye vyombo vya usalama na kushughulikiwa ipasavyo, hapo utaridhika. Siyo kuvunjiwa mlango usiku, kupigwa na kutekwa na labda kuuawa kabisa, wakati hajafanya kosa lo lote zaidi ya kutoa mawazo yake tu. Kumuita mama huyu 'muigizaji' ni dharau kubwa lisilo na busara. Laiti kama wangekuja kukufanyia hivyo kwa mtoto wako.
Usijichekeshe chekeshe, kuzaa au kuolewa sio issue, Mama Polepole alijua kuwa mtoto wake atapata masaibu akiwa mtu mzima??, hao watoto wako au hata mme wako, wanaweza kuja kuvuruga huko mbeleni...na wewe ukawa tu kama huyo mama.Usifikiri wewe uko safe sana..haya mambo sio ya kukejeli au kuchekeachekea...Rudia kuangalia hiyo clip utagundua ninachosema mama HP actress mzuri sana kama vip apelekwe kwa lamata😅
Nway m tayari nimeshaolewa na nna familia alhamdulilah! Nisijue kwa upande wako kama umeshaolewa au bado!
Karma is bitchUsijichekeshe chekeshe, kuzaa au kuolewa sio issue, Mama Polepole alijua kuwa mtoto wake atapata masaibu akiwa mtu mzima??, hao watoto wako au hata mme wako, wanaweza kuja kuvuruga huko mbeleni...na wewe ukawa tu kama huyo mama.Usifikiri wewe uko safe sana..haya mambo sio ya kukejeli au kuchekeachekea...
Ni lazima turuhu sheria zetu zifanyekazi..sio kufurahia utekaji na kuleta kejeli.
Sasa mbona huyo Polepole au 'kaka' yake wanaitwa polisi lakini wanakataa?...Ni lazima turuhu sheria zetu zifanyekazi...
Haupo sahihiHilo group lenu la chuo naamini ni la wanafunzi kama ni la wakufunzi, basi safari ya nchi hii ni ndefu sana. Your actions measure your perfection.
Tulipowaambia Polepole ana matatizo ya akili, mlitoa povu na kumuona ni shujaa wenu.
Msomi halisi ni yule anayejua cha kuongea, huku akizingatia wakati na hadhira anayoongea nayo pamoja na matokeo (-/+) tarajiwa kwa anachokiongea
Mimi siamini kama mtu unakuwa msomi walau wa kadigrii kamoja halafu unamuelewa Polepole kwa utoto alikuwa anafanya..
Hawa ndiyo tuliowapa dhamana ya kuandaa vijana wetu waingie katoka soko la ajira. Halafu wakileta watu wa hovyo kwenye ajira, wanaenda mitandaoni kumlalamikia Rais na kumpamba Polepole. Tuna safari ndefu sana.Unajua kwanini huwezi kumwelewa?
NB.Kama ujinga ni mbegu, wewe ungekuwa shamba la mfano.
Ni Abdul tu ndiye mwana!🤣🤣🤣🤣
Mama wa kwanza kutojua tabia za mwanae...et HP ana upendoo😅
😆😆Ni Abdul tu ndiye mwana!
Ngoja yawapate ndipo mtakapojuwa uchungu wa mama ulivyo Yanakuja haraka sana!.
Watu wa hovyo sana nyinyi.
😰BBC imezungumza na mama mzazi wa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole katika mahojiano maalum.
AnnaMary Polepole amesisitzakatika mahojiano hay kuwa arudishiwe mtoto wake- Humphrey Polepole akiwa hai au amekufa.
Hata hivyo mapema leo, jeshi la polisi lilisema kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa Humphrey Polepole.
Hata hivyo katika taarifa hiyo wameongeza kuwa wanamtafuta ndugu wa Humphrey Polepole, aitwaye Augustino Polepole kuthibitisha tuhuma hizo.