Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Mama Salma Kikwete achukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea jimbo la Mchinga kupitia CCM

Wewe unaogopa matusi ?Mama Salma ni mwanamke na nusu. Chukueni form jamani. Acheni kuwaponda wanaochukua
Yule hata wasihangaike nae wapitishe tu gari la matangazo likipiga Nyimbo za Seya wa mipalo na Ule wimbo wa Salima ooh ooh nilikudanganya nikakuacha wewe leo salima niko wapi eeeeeeh,unaujua huo wimbo?

Jasho litawatoka watu kwny meno,BTW nimechukua form kawe na kina Gwajima.
 
Sina chuki na mama lakini ukweli lazima usemwe, akichaguliwa yeye ni upotevu wa nafasi bure tu.

Mama angeweza kufanya mambo mengine na mataasisi yao akaachia wengine hiyo nafasi ya bungeni.

Kwanza yeye na mumewe wote wanapata huduma za serikali vizuri tu hana njaa ya pesa.

Kama anajiona bado kijana hapendi kukaa hivi hivi angejikita hata kwenye miradi ya kilimo na ufugaji ya familia. Watu wenye mitaji na mitandao (Business network connections) kama hawa ndio hufaa kuonesha mfano wa kufanya biashara kubwa za kusafirirsha nje bidhaa au mazao ya kilimo na ufugaji kwenda nje ya nchi. Huko atazalisha ajira nyingi sana.
Siasa awaachie wanawe akina Ridhiwan a.k.a Riz-moko (Riz1).
Nilikuwa nimebeba dhana kama hii kichwani mwangu, mama kama huyu anapungukiwa nini, heshima anayo, pesa anayo, shida nini? Kwamba anawiwa kuwasemea wana lindi? aah, hapana!
 
Nani aliyekuambia ameenda kungombea kwa sababu ya pesa? Kama ameona akawatumikie wananchi wa jimbo lake kwa ukaribu.
Kugombea ni haki yake kikatiba wala hajakosea kitu.
Sasa tuongee hapa nyeusi ni nyeusi na nyeupe tuite nyeupe , hivi huyu mama kweli amefanya jambo kubwa lolote pale bungeni kipindi chote cha ubunge wake?
Unafikiri ana kipaji kikubwa cha kujenga hoja za mantiki kwa ushawishi mkubwa?

Mimi namuheshimu sana kwa busara zake lakini kwa hili la ubunge wa kuchaguliwa jimboni naona fursa inatumiwa vibaya. Basi apambanie viti maalum kule.
 
Nasema hivi,yeye au rizone wakikatwa hakuna kitu watafanya zaidi ya kununa tu.

Ukiachana mwenye chama wengine wote ni ng'ombe waliokatwa mikia kwa sasa.

Ccm ina wenyewe.. huyu mama narudia tena hakuna anaeweza kumkata.

Japo ni mroho wa cake ya taifa. Maana alipaswa amlee mstaafu ampikie mapocho pocho sio kkwendakushinda mjengoni..

Huyu hakuna anaeweza kumkata..labda mumewe aseme..

Kuna watu wachache sana hawafiki watano ambao kwa ccm ni kama ndio wenye chama. Mmojawapo ni mume wa huyu mama
 
Nilikuwa nimebeba dhana kama hii kichwani mwangu, mama kama huyu anapungukiwa nini, heshima anayo, pesa anayo, shida nini? Kwamba anawiwa kuwasemea wana lindi? aah, hapana!
2015 wkt wa Kampeni watu wa kule jimboni kwa riz1 walilamika hamna huduma ya maji,Magu akamwambia Riz1 hapo hapo jukwaani sasa wewe si hata wkt unakunywa chai na mzee ungemwambia tu daddy kule tufanye mpango wa maji kwa wananchi wangu hahah.

Sasa imagine huyo Mama ashinde huo ubunge then itokee ktk ufanyaji kazi wake kama mbunge apishane kauli na Magu kwny mambo labda ya Korosho na unajua Lugha za Magu hapo inakuaje sasa?
 
Sasa huyu maza anajiaibisha. Anakaba nafasi za watu ambao wangeweza kujijenga kisiasa na kufika mbali? Ni nini anachotafuta tena muda huu kuhangaika na purukushani za kijinga?
Ni haki yake pia.
 
Ccm ina wenyewe.. huyu mama narudia tena hakuna anaeweza kumkata.

Japo ni mroho wa cake ya taifa. Maana alipaswa amlee mstaafu ampikie mapocho pocho sio kkwendakushinda mjengoni..

Huyu hakuna anaeweza kumkata..labda mumewe aseme..

Kuna watu wachache sana hawafiki watano ambao kwa ccm ni kama ndio wenye chama. Mmojawapo ni mume wa huyu mama
Na mimi narudia tena kusema mumewe huyo Mama alishawahi kuambiwa anawashwa washwa na akaishia kujikalia zake kimya tu cha kufanya hana,sasa mkewe nae ajichanganye aje aambiwe barakoa ni kama titi la mtu mmoja hivi lililokatwa ndipo ataelewa vzr.
 
Muda huwaga haungopi.. huu uzi ni ushahid tutaona kama mama atakatwa au hatakatwa

Na mimi narudia tena kusema mumewe huyo Mama alishawahi kuambiwa anawashwa washwa na akaishia kujikalia zake kimya tu cha kufanya hana,sasa mkewe nae ajichanganye aje aambiwe barakoa ni kama titi la mtu mmoja hivi lililokatwa ndipo ataelewa vzr.
 
Inafikirisha sana, kwa umri wake alitakiwa atulie nyumbani ajitunzie heshima yake, sasa aaenda kuoambana na watoto huko bungeni
Acha aingie ulingoni apewe matusi ya kutosha/achafuliwe kwa sana tu ndipo atapata akili vizuri.

Wamekalia kuwaambia watoto wa maskini wajiajiri lkn wao kutwa kulilia ubunge.
 
Back
Top Bottom