Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
YawezekanaNyie wachangiaji humu mitazamo yenu midogo sana. Kugombea kwa huyu mama si kwa sababu anataka ubunge. Hapo kuna zaidi ya ubunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YawezekanaNyie wachangiaji humu mitazamo yenu midogo sana. Kugombea kwa huyu mama si kwa sababu anataka ubunge. Hapo kuna zaidi ya ubunge.
Ataanza kuchapwa baba yakoMkuu naona bado unafikiri safari hii kampeni zitafanya kama zamani. Hakuna mgombea wa CCM atakayetukanwa au kudhalilishwa na upinzani. Hujastukia ziara za Siro zinazoendelea kuhamasisha “amani na utulivu” wakati wa uchaguzi. Na kampeni zimeshaanza tayari.
Jua safari hii wagombea wa upinzani hasa CDM wameandaliwa vichapo vya uhakika kila watakapoonyesha hata mbwembwe tu (acha matusi) kwenye mikutano yao ya kampeni. Itakuwa ni mwendo wa kushushwa majukwaani, vichapo, selo, na kupumzishwa (suspension) hadi wajue safari hii wanaotakiwa kusikika pekee na kueleweka ni kina nani. Very hard times are coming.
Yani anafikiri mama salma anaogopa matusi zaidi ya yale waliyotukanwa na chadema yeye na mumewe wakiwa ikulu?Wewe unaogopa matusi ?Mama Salma ni mwanamke na nusu. Chukueni form jamani. Acheni kuwaponda wanaochukua
Sina chuki na mama lakini ukweli lazima usemwe, akichaguliwa yeye ni upotevu wa nafasi bure tu.
Mama angeweza kufanya mambo mengine na mataasisi yao akaachia wengine hiyo nafasi ya bungeni.
Kwanza yeye na mumewe wote wanapata huduma za serikali vizuri tu hana njaa ya pesa.
Kama anajiona bado kijana hapendi kukaa hivi hivi angejikita hata kwenye miradi ya kilimo na ufugaji ya familia. Watu wenye mitaji na mitandao (Business network connections) kama hawa ndio hufaa kuonesha mfano wa kufanya biashara kubwa za kusafirirsha nje bidhaa au mazao ya kilimo na ufugaji kwenda nje ya nchi. Huko atazalisha ajira nyingi sana.
Siasa awaachie wanawe akina Ridhiwan a.k.a Riz-moko (Riz1).
Nitakukumbusha.. uzi huu nitaufufua.. kama akikatwa nitaomba mods anipige ban mwaka mzima
Ni democrasia hiyo!Sasa huyu maza anajiaibisha. Anakaba nafasi za watu ambao wangeweza kujijenga kisiasa na kufika mbali? Ni nini anachotafuta tena muda huu kuhangaika na purukushani za kijinga?
Hahahahahahawatia nia wamekuwa wengi kushinda hata wapiga kura jamani au mnaonaje?
Kweli kabisa mimi mtaani kwangu kila mtu amechukua form ya kugombea si wanawake si wanaume ni mm tu peke yangu sijachukua form pamoja na watoto na ma housegirl....duh..watia nia wamekuwa wengi kushinda hata wapiga kura jamani au mnaonaje?
Sasa si mpaka awe na akili hizo!Sina chuki na mama lakini ukweli lazima usemwe, akichaguliwa yeye ni upotevu wa nafasi bure tu.
Mama angeweza kufanya mambo mengine na mataasisi yao akaachia wengine hiyo nafasi ya bungeni.
Kwanza yeye na mumewe wote wanapata huduma za serikali vizuri tu hana njaa ya pesa.
Kama anajiona bado kijana hapendi kukaa hivi hivi angejikita hata kwenye miradi ya kilimo na ufugaji ya familia. Watu wenye mitaji na mitandao (Business network connections) kama hawa ndio hufaa kuonesha mfano wa kufanya biashara kubwa za kusafirirsha nje bidhaa au mazao ya kilimo na ufugaji kwenda nje ya nchi. Huko atazalisha ajira nyingi sana.
Siasa awaachie wanawe akina Ridhiwan a.k.a Riz-moko (Riz1).
Salma Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Mchinga mkoani Lindi kupita Chama cha Mapinduzi (CCM).
Sina chuki na mama lakini ukweli lazima usemwe, akichaguliwa yeye ni upotevu wa nafasi bure tu.
Mama angeweza kufanya mambo mengine na mataasisi yao akaachia wengine hiyo nafasi ya bungeni.
Kwanza yeye na mumewe wote wanapata huduma za serikali vizuri tu hana njaa ya pesa.
Kama anajiona bado kijana hapendi kukaa hivi hivi angejikita hata kwenye miradi ya kilimo na ufugaji ya familia. Watu wenye mitaji na mitandao (Business network connections) kama hawa ndio hufaa kuonesha mfano wa kufanya biashara kubwa za kusafirirsha nje bidhaa au mazao ya kilimo na ufugaji kwenda nje ya nchi. Huko atazalisha ajira nyingi sana.
Siasa awaachie wanawe akina Ridhiwan a.k.a Riz-moko (Riz1).
Hapa ndipo uhalisia halisi wa binadamu huonekana...daah mwaka wa sarakasi kuliko wakati wowote wa historiaAnajidhalilisha tu