jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
....vitisho uchwara!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeenda mbali sana mkuu.jina lake halirudi kwenye kura za maoni.mtapambana na mtu mwingine kabisaView attachment 1507914
Tutapambana na wewe jukwaani bila kukuonea aibu , kwahiyo ujitayarishe kwa madongo yasiyo ogopa kofia ya Mzee , tunapopambana na mwanaccm yeyote huwa hatubagui .
ulishakuwa First lady na ukaanzisha mfuko wa WAMA , hatujasahau kitu mama yangu , yako maswali kadhaa utajibu upende usipende , aliyekushauri uingie majukwaani kakuchuuza sana , sisi tunakusubiri kwa hamu
Usije kusema hatukukuambia.
Trust me anapigwa kwa kura za maoni mapema sana.
Utakuwa hujamuelewa mtoa madaMama salama alikua active kwenye siasa kabla hata kikwete kuwa Rais,
Hakuna mwenye ubavu wa kumshinda Salma huko mchinga
Ona sasa kumbe hata hio nafasi alipewa kwa huruma tu za Mwenyekiti.Na kwa taarifa mwaka 2015 alipigwa kwenye kura za maoni lindi mjini
Hebu niambie na weweAcha aingie ulingoni apewe matusi ya kutosha/achafuliwe kwa sana tu ndipo atapata akili vizuri.
Wamekalia kuwaambia watoto wa maskini wajiajiri lkn wao kutwa kulilia ubunge.
Anaweza kukatwa na hamna kitu mtafanya,kwani si alishawahi kumwambia Mumewe anawashwa washwa?
Kwa sasa Mwenye Chama ni mmoja tu,wengine wote wameshatwa mkia na cha kufanya hakuna.