Mama Salma Kikwete, kutaka wake wa viongozi wakuu wapewe pension ni kumkufuru Mungu!

waache wale mkuu mpaka wajiharishie , wala hatupaswi kumlaumu kwa hoja yake kwani ujinga tumeofanya sisi wenyewe japo uyo bi mkubwa ubunge wake wa kupewa

inatakiwa tujifunze sasa ili tusifanye makosa 2025

mtu mumewe alikuwa Rais ana pensheni za kutosha, mtoto ni naibu wazir, Mama ni mbunge lakini cha kusikitisha bado anaendekeza njaa tu

kweli kuna viongozi wengine ni viwavi jeshi jaman
 
Umeandika ujinga.Maana inaonekana hata pension hujui inapatikanaje.
 
Alikua wapi kwa miaka yote 10 kutofwatilia ilo.maana kama michango yake ilikua inamruhusu kupata mafao yake ni kipi kilimfanya asifwatilie.Maana hakutakiwa kulipwa pension kwasababu ni mke wa rais bali alitakiwa kulipwa mafao yake kwasababu alikua mtumishi wa umma na kaachana na hiyo kazi na ilikua haki yake endapo anakidhi vigezo.ndo maana wenye akili walipiga kelele pale serikali iliyopita iliopoondoa Fao la kujitoa.
 
Mumewe analipwa Pensheni Magufuli kawajengea Nyumba Kawe Beach ya Mabilioni yeye kapewa Ubunge Hebu kuweni na HURUMA hizo Pesa hamtakwenda nazo Mbinguni
 
Watu wanata kuishi kama Peponi hapa bongo
 
Huyo naye anataka nini zaidi?
Rais akiondoka madarakani anaendelea kutumia Bajeti ya Serikali hadi siku ya kuingizwa kaburini.
Bajeti hiyo inamhusu yeye pamoja na familia yake yote.
 
Tutakuja sikia tumeuzwa na familia ya Jk
Hivi hizi familia za wastaafu zinajisikiaje watazania wanapozilalamikia kuwa mizigo isiyobebeka wakati familia ya baba w taifa ikiwa zawadi kwa watanzania. Jk ,Jk ,Jk family . Hii familia nimeiita mara tatu .
 
Jakaya Kikwete, ya kuwa Rais mstaafu, ambayo ni 80% ya mshahara aliokuwa akiupata alipokuwa Rais wa nchi hii?

Mkuu nilisikia analipwa 80% ya Mshahara anaolipwa Rais aliyepo madarakani...... na sio 80% ya salary aliyokuwa akilipwa yeye...

Hii ni kutokana na thamani ya pesa kubadilika...

Leo ukimlipa Mzee mwinyi 80% ya mshahara wake aliokuwa analipwa unadhani atapokea kiasi gani.???
 
Salma Kikwete = Marie Antoinette
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…