TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach.
Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti.
Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti.
Mama endelea hivyo hivyo