Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

Ndiyo Baada ya miaka 60 ijayo tunataka Tanzania iwe Islamic Republic kwahiyo tafuta nchi ya kuhamishia kizazi chako kama hutaki
kizazi changu hakitahama eti kwa kuwa miaka 60 ijayo nchi itakuwa jamhuri ya kiislam. Hata huo uislam utakuwa ni kituko na hakuna atakayeujali na mwisho uislam utajifia wenyewe kwa kukosa waumini wa kuamini imani hiyo
 
Ingekua ni Uislam kufa basi ungekufa enzi hizo za nyerere aliepambana nao sana ila siyo sasa
 
alipambana nao kivipi? Kwa hiyo sasa ndio unasitawi mpaka misikiti mingi hadi porini inajengwa na hakuna wa kuswali huko ni kujisumbua bure hakuna atakayeukubali uislam, ni suala la muda tu dini hiyo itajifia yenyewe kama tu huko ilikotoka inapuuzwa na raia wanataka kuwa huru kama wamagharibi
 
Ukristo unaenda kupotea Israel yenyewe hawataki hata kuskia neno ukristo na ndo asili ya Yesu
 
Anapo toa michango ya kujenga makanisa hizo ngonjera za udini mbona huwa hatuzisikii?
Kwenye kanisa anatoa million hamsin huku anajishow Ila jiulize tangu aingie usukani misikiti inajengwa kea bilioni 6 kwenda juu mpaka watu wanajiuliza mbona napo nyuma haikuwa hivyo ??!! huyo mama ni mzenji Ana udin sana
 
Ila kule si ndiyo majini yanaishi huko, wanayajengea ili iwe rahisi kwao kuingia humo ma kuswali, hivyo wanayajengea majini😂
 
Back
Top Bottom