SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
View attachment 3290304
MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach.
Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti.
Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti.
Mama endelea hivyo hidaa
Tushasema hiki kibibi hakuna kituView attachment 3290304
MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach.
Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti.
Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti.
Mama endelea hivyo hivyo
Akitokea raisi mnoko hakuna rangi wataacha kuiona ..........maana itabomolewa yoteMsikiti Kwenye maeneo ya Umma tunakosea sana sana. Imagine pale Coco Beach watoto wetu wako na Bikin kubariz upepo wa Bahari na kuna mibazaz inajifanya kuswali pale kumbe inapiga chabo tuuu. Shame on Us
Kuendekeza huu ujinga wa kujenga misikiti nii ujinga uliopitiliza, wananchi wanahitaji shule, hospitali, majii na umeme wa uhakika.Misikiti tunaitumia kuhamasisha watu wetu wakatae movement ya NO REFORM NO ELECTION. Hukuona kwenye hotuba ya baraza la Idd Jana?
Huyo huyo rais anapo chukua pesa za walipa kodi kwenda kuchangia ujenzi wa makanisa hizi ngonjera huwa hatuzioni.Badala ya kushirikiana na Qatar kujenga viwanda, wao wanashirikiana kujenga misikiti. Hivi kazi ya sheikh mkuu ni nn? Hiyo ndo alipaswa kuomba huko Qatar, Kuwait, Saudiaau Oman kujengewa misikiti siyo Rais wa nchi. Upuuzi mtupu.
Kwa hiyo Qatar hawajengi misikiti kwao?Hao Qatar wenyewe wanawaza watu wao waishi maisha mazuri ya luxury, kwa kufanya maendeleo mengi katika sekta za elimu biashara na uchumi, usafirishaji na miundombinu... Sisi tunawaza kuongeza waumini, miskiti yenyewe ya kujaa ijumaa na sikukuu za eid.
Anapo toa michango ya kujenga makanisa haya maneno mbona huwa hatuyaoni?Kuendekeza huu ujinga wa kujenga misikiti nii ujinga uliopitiliza, wananchi wanahitaji shule, hospitali, majii na umeme wa uhakika.
Kuchangia kanisa kwenye kiwanja cha kanisa na kujenga msikiti kwenye eneo la umma ni sawa?Huyo huyo rais anapo chukua pesa za walipa kodi kwenda kuchangia ujenzi wa makanisa hizi ngonjera huwa hatuzioni.
Mama Samia ashitakiwe kwa kutaka hili taifa kuwa la kijinga, unajenga misikiti ya nini, inasaidia nini wananchi wa Tanganyika?View attachment 3290304
MamaSamia2025 anaupiga mwingi. Tayari katujengea msikiti wa kisiasa Coco Beach.
Tayari Kawe Beach nyuma ya Kikwete kwenye soko la samaki kunajengwa msikiti.
Feri soko la kimataifa la samaki panajengwa msikiti.
Mama endelea hivyo hivyo
Inadumaza bongo zaoMama Samia ashitakiwe kwa kutaka hili taifa kuwa la kijinga, unajenga misikiti ya nini, inasaidia nini wananchi wa Tanganyika?
Watu tinaletewa tende za Madina na maji ya zamzam aliyokunywa mtumeUwekezaji huo faida yake wanakula Saudi Arabia