Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

Msikiti Kwenye maeneo ya Umma tunakosea sana sana. Imagine pale Coco Beach watoto wetu wako na Bikin kubariz upepo wa Bahari na kuna mibazaz inajifanya kuswali pale kumbe inapiga chabo tuuu. Shame on Us
Kuanzia sasa kuogilea hapo coco Beach ni sharti uvae Juba kama ninja. Sasa kuongelea unatakiwa uvae ushungi kama wa mama abdul na nikabu na yale maguo meusi.
 
Misikitisikiti tu kana kwamba hii nchi ni ya kiislam. Kuna makanisga hayana majengo mazuri ya kufanyia ibada zao, awajengee na wao ili waone rais wao anawajali
Huyo mama ni mbaguzi wa kidini sema hamjamgundua hata kanisa likimuhitaji kufungua kitu Anatuma wasaidizi Ila mikutano ya din yake lazima awepo chunguza
 
Magufuli aliwajengea msikiti kwa kuwaomba wamoroco why yeye asijenge arena ya wakristo am a yo inahitajika na wazungu sapo tayari Ila hehe mama yenu yupo kimya🙄🙄🙄🙄 huyo mama udin unamtafuna sana
 
Pia dp world wanatarajiwa kujenga msikiti mkubwa zaidi afrika mashariki pale ubungo nafkir
 
Tunatafuta kanisa moja la wakatoliki tulivunje tuweke msikiti
 
Misikitisikiti tu kana kwamba hii nchi ni ya kiislam. Kuna makanisga hayana majengo mazuri ya kufanyia ibada zao, awajengee na wao ili waone rais wao anawajali
Lengo ni kuondoa kabisa makanisa
 
Magufuli aliwajengea msikiti kwa kuwaomba wamoroco why yeye asijenge arena ya wakristo am a yo inahitajika na wazungu sapo tayari Ila hehe mama yenu yupo kimya🙄🙄🙄🙄 huyo mama udin unamtafuna sana
Anapo toa michango ya kujenga makanisa hizo ngonjera za udini mbona huwa hatuzisikii?
 
Population ya watanzania inaongezeka, changamoto pia zinaongezeka ikiwemo ajira, miundo mbinu na elimu.
Rais kuwekeza nguvu kwenye kujenga nyumba za ibada iwe makanisa au misikiti ni upotofu wa fikra.
 
Hizo sehemu zinahitaji zahanati zaidi ya Misikiti au Kanisa ili kuookoa maisha ya watu wanao pata ajali za majini.
 
misikiti na makanisa ni ya nini sasa??

tunataka viwanda unaleta misikiti. watu wajinga wana furaha ya nini. ipo kibao tz hapa. ikiwa mingi ina faida gani
Ibrahim traore kakataa upuzz huo

Ova
 
Population ya watanzania inaongezeka, changamoto pia zinaongezeka ikiwemo ajira, miundo mbinu na elimu.
Rais kuwekeza nguvu kwenye kujenga nyumba za ibada iwe makanisa au misikiti ni upotofu wa fikra.
Upuuz mtupu

Ova
 
Lengo ni kuondoa kabisa makanisa
mitaani na vijijini nako vimisikiti vinajengwa kwa kasi mpaka nchi inaanza kuitwa ni ya kiislam, saa saba ni makelele ya adhana utadhani tuko kwenye taifa la kiislam
 
mitaani na vijijini nako vimisikiti vinajengwa kwa kasi mpaka nchi inaanza kuitwa ni ya kiislam, saa saba ni makelele ya adhana utadhani tuko kwenye taifa la kiislam
Ndiyo Baada ya miaka 60 ijayo tunataka Tanzania iwe Islamic Republic kwahiyo tafuta nchi ya kuhamishia kizazi chako kama hutaki
 
Tunatafuta kanisa moja la wakatoliki tulivunje tuweke msikiti
hii sio london majengo hayo yanakouzwa baada ya kukosa wa kwenda kuabudu, kule watu hajaza viwanja vya mpira tu
 
Back
Top Bottom