Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

Hao Qatar wenyewe wanawaza watu wao waishi maisha mazuri ya luxury, kwa kufanya maendeleo mengi katika sekta za elimu biashara na uchumi, usafirishaji na miundombinu... Sisi tunawaza kuongeza waumini, miskiti yenyewe ya kujaa ijumaa na sikukuu za eid.
 
Na St. Joseph msikiti wetu ambayo Wajerumani walitupora tutaurudisha kuwa msikiti tena pamoja na State House ya Magogoni
 
Msikiti Kwenye maeneo ya Umma tunakosea sana sana. Imagine pale Coco Beach watoto wetu wako na Bikin kubariz upepo wa Bahari na kuna mibazaz inajifanya kuswali pale kumbe inapiga chabo tuuu. Shame on Us
 
What the ***, hii misikiti ama makanisa yanatusaidia nini sisi Waafrika.......? Huu kwa kweli ni ujinga wa kujitakia, tunataka maendeleo si imani za watu wa nje ambazo hazina manufaa kwetu. Mama Samia kwa kweli inabidi ujiuzulu tu. Tambua kuwa HATUTAKI misikiti na MAKANISA na kuwafanya wananchi wetu waendelee kuwa wajinga wa kuamini imani za watu wengine.
 
Misikiti tunaitumia kuhamasisha watu wetu wakatae movement ya NO REFORM NO ELECTION. Hukuona kwenye hotuba ya baraza la Idd Jana?
 
misikiti na makanisa ni ya nini sasa??

tunataka viwanda unaleta misikiti. watu wajinga wana furaha ya nini. ipo kibao tz hapa. ikiwa mingi ina faida gani
Badala ya kushirikiana na Qatar kujenga viwanda, wao wanashirikiana kujenga misikiti. Hivi kazi ya sheikh mkuu ni nn? Hiyo ndo alipaswa kuomba huko Qatar, Kuwait, Saudiaau Oman kujengewa misikiti siyo Rais wa nchi. Upuuzi mtupu.
 
Mipango miji imetushinda, mji mchafu, usalama katika jiji hakuna, unakimbilia kujenga misikiti kwenye maeneo prime, huu πŸ‘† ni upumbavu wa serikali ya sa100 wanafanya, hata jk nae ilikuwa ni hivihivi na hongo za gadafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…