Mama Samia akishirikiana na Ubalozi wa Qatar amejenga msikiti Coco Beach

Tunakoelekea mmm ni mbigili tupu, Coco beach msikitini wa nini, jamani misikiti yote hii kutwa kutupigia kelele mpaka! Siku kimbunga kiwakute humo
 
Misikitisikiti tu kana kwamba hii nchi ni ya kiislam. Kuna makanisga hayana majengo mazuri ya kufanyia ibada zao, awajengee na wao ili waone rais wao anawajali
Tafadhali mkuu,Ukristo haujajengwa kujinyenyekeza hovyo na kuomba omba ili kuonewa huruma.
 
Nilipouona huo msikiti nilijiuliza swali moja tu ambalo hadi sasa sijapata suluhisho lake...

Mabanda ya Coco Beach sio ya kudumu kwa maana kwamba ni eneo la uwekezaji wa ndani wa muda tu, sasa msikiti ni nyumba ya ibada ya kudumu iweje umejengwa eneo ambalo anytime mabanda ya biashara yanaweza kutolewa?
 
Waafrika wamekunywa maji ya bendera kunako dini
 
Itakuwa wanajenga ili wapate kauchochoro kakupitisha vitu vyao maana wale hawaaminiki wanyama watapita hapo bila kelele
 
Upuuzi sasa ina faida gani hiyoo misikiti
 
tz bado ina uhaba wa miskiti kwa kweli ijengengwe kwa wingi[emoji855]
 

Kwa kweli hiyo misikiti na makanisa akajenge huko zenjibari. Huku tunataka viwanda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…