Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

Shida yenu mnataka kupangia watu jinsi ya kuongoza.
HICHI NDICHO ALICHOKIKATAA marehemu mkamuita mkaidi na kiburi.
Marehemu katuachia ujasiri wa ajabu sana.alijua corona inaua lakini alitupa moyo na kutuacha tuishi tutakavyo
TUNAUENZI UJASIRI WAKE.
HATUMUOGOPI ADUI YETU.
MAANA MUNGU YUPO NDANI YETU
MATAGA kazini
 
Hivi kusema ukweli ili kutahadharisha watu wajikinge na huu ugonjwa ni kuwa Israel? Usikimbie ukweli thamini uhai wako na wa binadamu wenzio. Usiogope kusema ukweli siku yoyote ile hata kama ukweli husika ni MCHUNGU.
Wacha weee!! Izraeli katika ubora wako.
 
Ooh uzi mzima unalia lia tu. Okay kesho atavaa mkuu. Kama mzee kavuta kwa corona mbona mkewe yupo fit au haiambukizi?(nukuu hapo juu kuwa corona imemgharimu uhai na urais)
Corona ikikushindwa unakuwa Carrier wa kuangamiza wengine wenye afya hafifu.Ndio maana ni muhimu kujikinga usisambaze au kusambaziwa maambukizi!
 
Uzuri wa kauli Kama hii haijaanzia kwako zimeanza kitambo kwa mke wa Bill gate hivyo tumewazoea
Endelea na ubishi wenu tu maana kila mchuma majanga daima ula na jamaa zake
 
Corona inaambukizwa kwa njia gani? hewa au mtu kujishika puani na mdomoni? je Corona inaambukizwa kwa maji kugusa ngozi au kuingia kupitia mdomo au puani ? Japani ni nchi ambayo moja ya utamaduni wao ni kuvaa barakoa hata kabla ya Corona je hakuna maambukizi ?

Hoja ya why tunavaa barakoa ni nini? huwezi kusema ni kinga dhidi ya Corona coz barakoa hazijatengenezwa special kwa ajili ya corona zimekuwepo miaka nenda rudi kwenye vyumba hasa mahospitalini sasa iweje leo ndo ziwe kinga ya Corona ? unavalishwa barakoa kwa ajili ya kuzia contact ya mikono ambayo imekuwa contaminated na corona virus kuipeleka puani na mdomoni kama Corona ingekuwa inaambukiza kwa hewa na jinsi unavyoua unadhani balaa lake lingekuwaje?

Pia unatakiwa kujua hili upumue vizuri mapafu yanatakiwa kufanya kazi yake vzr bila ya kuwa distab na kitu kingine sasa ukiyapa kazi nyingine ya kuchambua oxygen na carbon dioxide kwenye mchanganyiko wa hewa ndani ya barakoa yako nadhani utakuwa huyatendei haki mapafu yako? fikiria wale wenye majonjwa ya Moyo ,Ini,Figo,Kisukari hawa unawaweka kwenye hatari kiasi gani? hand sanitaizer ni bora
 
Unaaminisha:
Israel:Origin. Word/name. Hebrew. Meaning. 'God Contended', 'Wrestles with God', 'Triumphant with God'
Au una maana nyingine wewe mvaa kipedo mwenye Sigda? 😡
 
Wewe vaa barakoa.
 
Hivi kusema ukweli ili kutahadharisha watu wajikinge na huu ugonjwa ni kuwa Israel? Usikimbie ukweli thamini uhai wako na wa binadamu wenzio. Usiogope kusema ukweli siku yoyote ile hata kama ukweli husika ni MCHUNGU.
Umetoa Tahadhari au umetoa Taarifa ya Vifo vya Mwezi ujao na kuclaim tutasaga Meno?
 
otherwise I would have shared (it's a free ebook anyway).
Kwa jina hilo hilo?

Kuhusu kuanza vibaya kwa Suluhu, nadhani ni swala la muda tu.

Bado hajatambua vizuri kwamba yeye ni rais.

Atakapozinduka toka ndotoni sioni atakavyoghaili jambo muhimu kama huu ugonjwa.

Kwa bahati mbaya sana, wakati bado yumo usingizini, maambukizi yataendelea kuenea, na watu wataendelea kufa.

Nampa wiki mbili toka sasa, kama atakuwa bado anaota, nitajua kumbe na yeye ni mpuuzi tu, hana busara yoyote.
 
Mmeshaanza na madomo yenu kama ya chooni
 
Mheshimiwa Samia ameshajua kilichomuua hayati Magufuli ndio maana hana wasi wasi na hicho unachokiopa wewe.
Kwa upande wako wewe ndio umeanza na malawama yasiyokuwa na msingi.
 

Dada, social distancing ikiweza kuwa applicable hakuna haja ya barakoa.

Kwenye mikusanyiko ya watu ukiacha barakoa hasa ukiwa njemba (mwanaume), mzee na magonjwa mengine yanakuhusu basi tambua umechoka kuishi duniani.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mama Samia amechiwa deni kubwa sana na mtangulizi wake, deni la kuifanya mioyo ya watu walikuwa wanamwamini Maguli imgeukie yeye, kuna vitu ni lazima afanye, sio kukengeuka misingi ya JPM ghafla tu kama mnavyotaka.
 
Dada, social distancing ikiweza kuwa applicable hakuna haja ya barakoa...
Ile ngoma unapenya mpaka kwenye macho,hata kwa kushika tu sehemu zenye virusi, so kwenye mikisanyiko barakoa bado si chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…