Confundido
Member
- Mar 17, 2021
- 44
- 136
ele iwepo mtaani mama amesema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunampa miaka 30 kabisa Mama mwenye roho safiMitano tena kwa SASHA atake asitake!
Nilijua tu watu wajinga hua hawachambui taarifa, wakimeza wanameza hata uharo.Kaangalie kampuni za Marekani zilizohamia China kwa kuongeza Corporate Taxes.
Sera za Republican mara zote zimekuwa kupunguza kodi ili kuvutia Enterprises zilizotimkia China kurudi Marekani. Ilifika kipindi mpaka Trump akawa ana advertirse kuwa anapenda kuona bidhaa nyingi zikiandikwa "Made in America".
Huna exposure hujui vitu halafu unakuja kutapika ukilaza wako hapa!!!
www.forbes.com
Nimemshangaa huyu alipoandika eti mawazo yale ya Rais Samia ni Matope, hizo hasira zimenistua sana. Jf inataka watu kama wewe big upKaangalie kampuni za Marekani zilizohamia China kwa kuongeza Corporate Taxes.
Sera za Republican mara zote zimekuwa kupunguza kodi ili kuvutia Enterprises zilizotimkia China kurudi Marekani. Ilifika kipindi mpaka Trump akawa ana advertirse kuwa anapenda kuona bidhaa nyingi zikiandikwa "Made in America".
Huna exposure hujui vitu halafu unakuja kutapika ukilaza wako hapa!!!
Kama enzi za mzee ruksa tu. Mama atapigwa chenga kulipwa kodi hadi aone nchi kaibeba begani. Cha moto kitafuata.Wewe umeelewa kweli mama alichosema ..
Huko shule umesoea vitu gani ,mbona umekaza ubongo namna hio ....
Mama mbona kaeleweka kabisa ...
Kasema kodi zitolewe lakin kwa kufuata taratibu na haki ,na sio nguvu
Na watambue Mama tunampa miaka 30 ya kuongoza Jamuhuri ya TanzaniaUshauri wangu tafuta juice safi ya ndimu unywe utulize hasira.
Samia Suluhu Hassan ndo Rais wa JMT utake usitake na so far kwenye yote amefanya vizuri Kwa asilimia 99.9.
Siku sikia neno kubembelezana nlisikia ustaraabuMaombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Hii mijamaa haijui biashara zilikuwa zina kufa na mwisho serikali isingepata kodi kabisa!Usionyeshe hadharani kile usichojua maana kama uko serious , hapa kazi tu ni pamoja na ninyi wapiga debe kuanxisha biashara ili zipigwe kodi unayoililia.
Lakini nye walalia maneno msio na kitu kichwani heri mkalime tu kuliko kujazana mijini.
Mkuu,Nakupinga bila kusoma,Mfumo wa kodi wa Tanzania ni wa kipumbavu sana.Ukiona mtu anapewa TAX clearance halafu baadae anakuja kupewa penalti na wakati huo huo unatoa hongo ili ulipe kodi ndogo ujue kabisa kwamba Nchi ina matatizo kwenye mfumo wa kodi.Mlipa kodi anatakiwa kupewa NGUVU kuliko Mkusanya kodi ili kwetu sisi mkusanya kodi anayo NGUVU kuliko mlipa kodi.KODI nyingi zinazokusanywa ni DHULUMA.Hili nakwambia kama mtu ambaye ninafuatilia sana mfumo wa kodi tangu TRA ianze kukusanya kodi.Binafsi najua Mama Samia anayo NIA njema na uwezo ila watu kama wewe ambao hamjawahi kulipa kodi mtafikiri hajui anachofanyaMaombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
kodi sio sababu ya kukumbiza wafanyabiashara uko right kabisa.Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Kasema hisitumike nguvu kukusanya kodi bali itumike akili. Hao finland na Norway wanatumia akili na sio nguvu.Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Nafurahishwa kujadiliana na watu kam wewe wanaojenga hoja.kodi sio sababu ya kukumbiza wafanyabiashara uko right kabisa.
mama hajasema ipunguzwe au iongezwe au wasilipe. bali style ya ukusanyaji ufuate sheria.
TRA and DRD teams walikuwa wana aggressiveness kwenye ukusanyaji kwa kutumia sheria hizo hizo,either waje na makadirio makubwa kuliko, wafunge account, kesi ya uhujumu uchumi ikuhusu.
tulipata kodi yes,but trail of distruction iliyokuwa inaachwa huko nyuma ni beyond.
hii mentality mfanyiabiasha ni adui inatakiwa iondoke.
lazima kuwepo balance. sheria zifuatwe za ulipaji kodi. nothing else.
Mkuu mtoa mada kati ya mijitu mijinga sana, na ni mivivu.Hii mijamaa haijui biashara zilikuwa zina kufa na mwisho serikali isingepata kodi kabisa!