Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

ACHA KUANDIKA UJINGA WEWE! SAMIA NDIO LAISI MTAKE MSITAKE !
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kuna kukusanya kodi na kufanya unyang'anyi mama anataka mkusanye kodi siyo kufanya unyang'anyi.

Tunatambua unyang'anyi uliwanufaisha sana tena sana lakini mnapaswa mtambue hizi ni zama zingine kabisa za kukusanya kodi halali siyo ya dhulma.

Mkiona mmeshindwa kuishi katika zama hizi mfuateni malaika jiwe huko aliko mkaendeleze unyang'anyi wenu.
 
Mitano tena kwa SASHA atake asitake!
Namuona
Ally Kessy
Juma Nkamia
Jah People
Ccm Wote
Walikuwa Radhi Aongezewe Muda
Sasa Hivi Wamepoteana Wote Wanaguna Tu Huko
💫💨💦💥💣💤
 
Hakuna point uliyo ongea ww ujamuelewa mama Samia afu pia acha kufananisha Finland,Norway na nchi yetu Tanzania hao walishaendelea na kuwa na democrasia kubwa miaka mingi sana sisi kwanza tumetawaliwa na wakolo richa ya kutawaliwa tuna majanga kibao kwnye nchi yetu ww huyu mama ujamuelewa ukimuelewa basi utaacha kumbeza ila ana akili sana huyu mama...
Mkuu kama uandishi wako ndio huo sidhani kama utanielewa. Nakumbaliana na wewe kua huwezi kuona pointi maana hii hoja iko juu ya akili yako.

Ahsante.
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,siku hizi kuna mfumo wa kufuatilia kodi electronocally .Kumfuata mtu ofisini ni mara chache sana
 
Kuna kukusanya kodi na kufanya unyang'anyi mama anataka mkusanye kodi siyo kufanya unyang'anyi.

Tunatambua unyang'anyi uliwanufaisha sana tena sana lakini mnapaswa mtambue hizi ni zama zingine kabisa za kukusanya kodi halali siyo ya dhulma.

Mkiona mmeshindwa kuishi katika zama hizi mfuateni malaika jiwe huko aliko mkaendeleze unyang'anyi wenu.
Bora umwambie ww hii mijitu ya ajabu ni zao la awamu iliopita , haina logic iko senseless, idiots, hopeless
 
Kwamba ndani ya Taifa huru watu washurutishwe kulipa kodi? Mambo ya utumwani haya kijana unayachagiza' ndunia inaelekea katika mifumo imara ya utii wa sheria bila shurti wewe waturejesha Enzi za landlords na mtumwae, hii ndio lagacy ameiacha jpm?!!!
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Serikali iligeuka na kuwa mumiani, nchi haiendelei kwa kupora watu, bali kwa kukusanya kodi ya haki.
 
Mfanyabiashara sio adui na kodi ni commodity japo hii ipo kisheria na ni compulsory inapokusanywa kwa HEKIMA ni rahisi kuleta ustawi na ikikusanywa kwa mabavu bhasi jiandae bidhaa hii kuadimika maana biashara zitafungwa na revenue collections zitashuka.

Tutabakia kuwakamua wazee wa PAYE na SDL maana wao wapo kwenye cage, wafanyabiashara wengine watakimbilia nchi jirani watapromote ajira na kuboost tax revenues wakati sie tupo tumetumbua mimacho.

Ni kawaida yetu watu wa kanda ile kuona neno NAOMBA kuwa linaonesha udhaifu ila tutambue Pwani pana vinasaba na biashara na wafanyabiashara wenye mafanikio zaidi wachunguze utasadiki hili. Kutumia maneno PLEASE,EXCUSE,NAOMBA,NISAMEHE,TUTAKUWA PAMOJA ni ishara ya ustaarabu na uungwana mkubwa.

Karume day njema.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kwani Mh Rais kasema watu waache kulipa kodi? Hebu acha Ujuha ww
 
Bahati mbaya, ni dhahiri uelewa wako kuhusu maendeleo ya Dunia, na hata mataifa uliyoyataja siyo sahihi sana. Kuna mambo ya msingi na ya kweli ulistahili kuyajua, kabla ya kuleta hii mada ya kupotosha:

1) Mataifa yaliyoendelea yana walipa kodi wengi. Siyo kama hapa Tanzania ambapo walipa kodi ni chini ya watu 10m. Rais anataka watu wafanye shughuli za kiuchumi halali kwa njia halali bila kunyanyaswa. Shughuli zao zitoe faida, kisha walipe kodi. Nchi iwe na walipa kodi wengi.

2) TRA ikusanye kodi kwa weledi na kwa kufuata sheria kuliko kufanya kazi kama genge la wahuni kwa kuvamia watu, kufunga accounts zao na kupora fedha ovyo. Hiyo itazui biashara kufa na wawekezaji kuikimbia nchi. Unadhani huko wanajokimbilia hawakusanyi kodi?

3) Hakuna nchi iliyokuwa maskini iliyoweza kuendelea kwa kuongeza ukubwa na uwingi wa kodi. Mataifa mengi yaliyokuwa maskini yaliweza kubadilika na kuwa mataifa yaliyoendelea kwa kupunguza ukubwa na uwingi wa kodi. Kasome historia ya Dubai, Singapore, na kwa miaka ya karibuni Taifa la Ghana, ka mfano wa mayaifa mengi yalivyoweza kupiga hatua kwa muda mfupi kwa kuounguza ukubwa na uwingi wa kodi. Kodi nyingi na kubwa na zinazokusanywa primitively kama ilivyo kwa Tanzania, zinaua uwekezaji, zinaua ajira, na zinaua uchumi kwa ujumla. Leo Tanzania ndiyo nchi inayoobgoza kwa mazingira mabaya ya uwekezaji kwenye sekta ya madini. Sifa hii unadhani itaisaidia Tanzania kupata wawekezaji makini na wakubwa kwenye sekta ya madini? Hivi unajua kuwa hata uchimbaji mdogo wa dhahabu unaofanywa sasa ni dhahiri utakufa kwa sababu wachimbaji wadogo wanafuata maeneo ambayo yamefanyiwa utafiti na makampuni makubwa ya kigeni, halafu maeneo hayo yakaonekana hayatafaa kwa uchimbaji mkubwa? Ni kampuni gani Tanzania hapa ina uwezo wa kugharamia utafiti wa madini?

Tumekusanya kodi primitively kwa hii miaka 5, na hakuna tulichofanikiwa. Ukuaji wa uwekezaji umeanguka sana, ukuaji wa kilimo umeanguka, ukuaji wa sekta za uchumi umeporomoka, ukuaji wa soko la ajira umeanguka. Viashiria vyote vya ukuaji wa uchumi havioneshi dalili nzuri. Ongezeko la pato la mwananchi ni dogo sana katika kipindi cha awamu ya tsno ukilinganisha na awamu ya 4 na ya 3. Watu wamekuwa wakidanhanywa kwa taarifa ambazo siyo sahihi.

Nchi yetu ilihitaji sana mabadiliko ya haraka sana ili kulerta tumaini kwenye uchumi, na ndicho kwa sasa kinachofanyika. Lazima nchi iwe na uchumi wa kisasa unaosimamiwa kitaalam badala ya kuendesha uchumi kwa kutumia nguvu bila maarifa. Nyati ni mkubwa na ana nguvu nyingi lakini analiwa na simba aliye mdogo kuliko yeye kwa sababu hatumii akili kujilinda.
 
Ukusanyaji Kodi wa kufukuza watu na Mapikipiki hapana.
AKILI itumike ndio Msisitizo wa Raisi.
 
Ulisha wahi jiuliza biashara zikifungwa kodi itapatikana wapi? Imesha semwa mtindo tunaoendana nao unauwa wafanyabiashara, Rais amepata mtiririko wa makusanyo sio 'sustainable' maana yake mwisho tutashindwa kufikia malengo ya kukusanya kodi.
Lazima hatua zichukuliwe kurekebisha hali hiyo na hatua zenyewe ni mtindo wa kutoza kodi, kuvutia mitaji mipya kwa kujenga imani, iwapo itahitajika kufanya mabadiliko ya sera na kanuni, hivyo usiwe na hofu, mama yuko vizuri kwa kutengeneza mazingira kuvutia uwekezaji mpya!
 
Mfanyabiashara sio adui na kodi ni commodity japo hii ipo kisheria na ni compulsory inapokusanywa kwa HEKIMA ni rahisi kuleta ustawi na kukusanya kwa mabavu bhasi jiandae bidhaa hii kuadimika maana biashara zitafungwa na revenue collections zitashuka.

Tutabakia kuwakamua wazee wa PAYE na SDL maana wao wapo kwenye cage, wafanyabiashara wengine watakimbilia nchi jirani watapromote ajira na kuboost tax revenues wakati sie tupo tumetumbua mimacho.

Ni kawaida yetu watu wa kanda ile kuona neno NAOMBA kuwa linaonesha udhaifu ila tutambue Pwani pana vinasaba na biashara na wafanyabiashara wenye mafanikio zaidi wachunguze utasadiki hili. Kutumia maneno PLEASE,EXCUSE,NAOMBA,NISAMEHE,TUTAKUWA PAMOJA ni ishara ya ustaarabu na uungwana mkubwa.

Karume day njema.
Mkuu nime catch attention kwenye paragraph yako ya mwisho tu.

Umesema pwani wana vinasaba vya biashara, sasa hiyo biashara imewafikisha wapi wakati wanaongoza kwa umasikini? Mikoa ya Pwani, Zanzibar ni masikini wa kutupwa, hiyo biashara imewafikisha wapi?
 
Mkuu mtoa mada ni kati ya mijitu mijinga sana na ni mivivu.
Ndii maana nasema watoke wakaanzishe biashara zao ili kuziba pengo la waliofunga, na walipe wao hizo kodi.
Sana mkuu jamaa hajawahi ata kuanzisha genge la mboga mboga!
Hajui TRA kodi zilipungua wakaanza kupora na kuwatengenezea watu makosa 'fake na kulazimisha kila mwezi mfanyabishara awe analipa kidogo kidogo!
Yaani pengine mzee alikufa kwa pressure baada ya kuona hafiki kokote maana biashara zimefungwa kupita maelezo!
Mtu yoyote akitaka kujua biashara zilivyo fungwa asipate taabu aende serekali za mitaa aulize watu wanao chukuwa barua za kufunga biashara kwa mwaka jana walikuwa wangapi!
Me nilienda nikijua ni mimi tu ninafunga duh adi nikaona huruma kwa Jamuhuri ya Muungano!!
 
Bahati mbaya, ni dhahiri uelewa wako kuhusu maendeleo ya Dunia, na hata mataifa uliyoyataja siyo sahihi sana. Kuna mambo ya msingi na ya kweli ulistahili kuyajua, kabla ya kuleta hii mada ya kupotosha:

1) Mataifa yaliyoendelea yana walipa kodi wengi. Siyo kama hapa Tanzania ambapo walipa kodi ni chini ya watu 10m. Rais anataka watu wafanye shughuli za kiuchumi halali kwa njia halali bila kunyanyaswa. Shughuli zao zitoe faida, kisha walipe kodi. Nchi iwe na walipa kodi wengi.

2) TRA ikusanye kodi kwa weledi na kwa kufuata sheria kuliko kufanya kazi kama genge la wahuni kwa kuvamia watu, kufunga accounts zao na kupora fedha ovyo. Hiyo itazui biashara kufa na wawekezaji kuikimbia nchi. Unadhani huko wanajokimbilia hawakusanyi kodi?

3) Hakuna nchi iliyokuwa maskini iliyoweza kuendelea kwa kuongeza ukubwa na uwingi wa kodi. Mataifa mengi yaliyokuwa maskini yaliweza kubadilika na kuwa mataifa yaliyoendelea kwa kupunguza ukubwa na uwingi wa kodi. Kasome historia ya Dubai, Singapore, na kwa miaka ya karibuni Taifa la Ghana, ka mfano wa mayaifa mengi yalivyoweza kupiga hatua kwa muda mfupi kwa kuounguza ukubwa na uwingi wa kodi. Kodi nyingi na kubwa na zinazokusanywa primitively kama ilivyo kwa Tanzania, zinaua uwekezaji, zinaua ajira, na zinaua uchumi kwa ujumla. Leo Tanzania ndiyo nchi inayoobgoza kwa mazingira mabaya ya uwekezaji kwenye sekta ya madini. Sifa hii unadhani itaisaidia Tanzania kupata wawekezaji makini na wakubwa kwenye sekta ya madini? Hivi unajua kuwa hata uchimbaji mdogo wa dhahabu unaofanywa sasa ni dhahiri utakufa kwa sababu wachimbaji wadogo wanafuata maeneo ambayo yamefanyiwa utafiti na makampuni makubwa ya kigeni, halafu maeneo hayo yakaonekana hayatafaa kwa uchimbaji mkubwa? Ni kampuni gani Tanzania hapa ina uwezo wa kugharamia utafiti wa madini?

Tumekusanya kodi primitively kwa hii miaka 5, na hakuna tulichofanikiwa. Ukuaji wa uwekezaji umeanguka sana, ukuaji wa kilimo umeanguka, ukuaji wa sekta za uchumi umeporomoka, ukuaji wa soko la ajira umeanguka. Viashiria vyote vya ukuaji wa uchumi havioneshi dalili nzuri. Ongezeko la pato la mwananchi ni dogo sana katika kipindi cha awamu ya tsno ukilinganisha na awamu ya 4 na ya 3. Watu wamekuwa wakidanhanywa kwa taarifa ambazo siyo sahihi.

Nchi yetu ilihitaji sana mabadiliko ya haraka sana ili kulerta tumaini kwenye uchumi, na ndicho kwa sasa kinachofanyika. Lazima nchi iwe na uchumi wa kisasa unaosimamiwa kitaalam badala ya kuendesha uchumi kwa kutumia nguvu bila maarifa. Nyati ni mkubwa na ana nguvu nyingi lakini analiwa na simba aliye mdogo kuliko yeye kwa sababu hatumii akili kujilinda.
Mkuu unaweza kua uko sahihi ama sio sahihi lakini namba nianze na hoja yako namba moja.

Kwenye mada yangu nimetolea mfano nchi kama Finland, Norway na Sweden. Wewe unasema nchi zilizoendelea zina walipa kodi wengi zaidi ya 10m.

Mimi kwenye mfano wangu nimetoa wa Finland yenye total population ya 5m, hiyo pia ina walipa kodi wengi?
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kodi ina principal mbili. Kusanya kingi kwa wachache au kusanya kidogo kwa wengi.

Mama keshatoa mwongozo.... Ongeza wigo na maxingira ya walipa kodi wapya kwa kuwavutia wawekezaji. Nadhani unajua umuhimu wa wawekezaji ktk kukushanya kodi..

Sasa sijui ndugu unadhani principal gn inatufaa.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Watanzania ni watu wenye vichwa vigumu kuelewa lakini hujufanya waelewa , lakini pia si wajuzi wa vitu lakini hujifanya wajuzi kumbe ni wajinga sana kama mleta mada.

Mlikuwa mkitumia miguvu hadi kupora pesa kwenye account za watu ili mpate sifa kuwa mnakusanya kodi matokeo yake wafanya biashara wakubwa wanahama wanaenda kuwekeza mataifa mengine halafu hapa mnabaki na wamachinga ambao kimsingi si walipa kodi na wala hawatengenezi ajira kwa wengine nani anapata hasara hapo!?

Kwa taarifa tu makusanyo yalikuwa yanashuka kwa kasi maana walipa kodi wakubwa wanahama wanafunga makampuni yao wanaenda kuwekeza nje ya nchi

Nyie SUKUMA & CO.LTD na mikakati yenu ya kumkwamisha mama mna maneno sana wakati huyo mungu mtu wenu ameua sana uchumi ndio maana akafikia hatua ana kwapua pesa kwenye accounts za watu kinguvu halafu akija kwenu anajichesha na kuwaita wanyonge kumbe hamjui yaliyo nyuma huku aende zake katiharibia nchi sana yule
 
Back
Top Bottom