Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Tushaongea Sana haya,kilichobaki Ni kusubiri na kuona tu.
Mama badobado hajakalia kiti vizuri akikalia basi atakua tofauti kabisa.
Duniani hakuna mfanya biashara anayependa kulipa Kodi.Na walioitwa wawekezaji/wafanya biashara walokimbia wote walikua either wakwepaji Kodi au wanyonyaji kwa mataifa yaliyoendelea.
Bado wananchi wazalendo tuendelee I kupaza sauti atasikia
 
hakika tunarudi tulikotoka inatia uchungu sana miaka mitano tumeona mabadiliko ya maendeleo ya waziwazi sasa tunarudi tena kwenye zama za kuambia nchi haina uwezo

hakika magu ametufumbua macho kuwa nchi si maskini na tunaweza kujitegemea bila msaada wowote ule
 
Naungana nawewe Mkuu.

SASHA anaweza kua ndie Rais mbovu sana

Haiingii akilin ubembelezane na mfanya biashara juu ya kodi.

Atashindwa .
 
Lakin mama hajasema watu wasilipe kodi. Amesema ukusanyaji uwe wa haki na si dhulma ya kuchukua hela kwa nguvu.
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Mkuu hivi huko ulaya kodi hulipwa kabla ya kuanza biashara?
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Rais na kundi lake la Uongozi

Mama Samia ameanza Ma-cheap popularity na wafanya biashara wa Tz, hatayavuna hata hayo mabua,atavuna mizizi.
Maana hata hayo mabua NYANI watayamaliza!
 
Siku za karibuni, walikuwa wanakataa kufunga biashara baada kuona trend ilikuwa ikiitia aibu Serikali.
Na biashara karibia zote zilikuwa zina pumulia mashine ya oxygen!
Yani adi sasa zipo hoi!
Kuna jamaa kampuni haina thamani ya pesa alizo takiwa kulipa na TRA ata akiuza majengo na bidhaa zote pamoja na figo yake maini na moyo wake!!
 
Hv lile agizo la Trion 2 kwa mwezi na hzi kauli za Mama malengo yatatimia kweli.
 
Tushaongea Sana haya,kilichobaki Ni kusubiri na kuona tu.
Mama badobado hajakalia kiti vizuri akikalia basi atakua tofauti kabisa.
Duniani hakuna mfanya biashara anayependa kulipa Kodi.Na walioitwa wawekezaji/wafanya biashara walokimbia wote walikua either wakwepaji Kodi au wanyonyaji kwa mataifa yaliyoendelea.
Bado wananchi wazalendo tuendelee I kupaza sauti atasikia
Mkuu anzisha biashara na ewe ili ulipe kodi.
Nakushauri yafuatayo.
Nenda benki kakope.
Weka nyumba yako rehani, pesa zipo kedekede.
Anzisha kafremu au biashara yoyote unayoipenda.
Changanya.
Kalipe kodi kwa uzuri tu, usitegemee kuna mjomba atalipa kodi ili wewe ulipwe mshahara na kusugua makalio kwenye kistuli cha bar huku unakunywa serengeti lite.

Fanya kazi, anzisha biashara ili ulipe kodi.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Mtapata tabu sana MATAGA, kubalini tu ndio imeshatokea!!huyo aliyekuwa akikusanya kodi na za dhuruma zimefanyia nini la maana ??deni la taifa alilikuta likiwa trilion 35!!kikwete miaka kumi alikopa trilion 25!meko miaka mitano amekopa trilion 25!!, na kuwaaminisha watu kuwa kila mradi ni pesa za ndani, !!hilo ongezeko la kodi limetusaidia nini?huku deni ndio hilo?kipindi mnatumia task force kukusanya hizo kodi mliacha kukopa?!!akili nyingine hizi!!kuna verse moja ya hadija kopa ina sema......."ACHIA NGAZI MCHUMA UNAONDOKA HUO(CHOMBO YA FUNDI), NDIO BASI TENA!!!kweli ukitaka kuona NGUVU YA MATAGA GUSA KWENYE RIZIKI YAKE!!!
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Huku Ulaya wanabambikiwa kodi pia?
 
Kwa sasa hayatashuka kwa sabab tayar wameshakadiriwa mapato ya mwaka mzima. Labda biashara mpya ndizo zenye nafasi ya negotiation.

Naona anafuata msimamo wa kakake Mwinyi. Msimamo wa mwinyi ni kukusanya kodi kidogo kidogo kwa watu wengi wakati mwendazake hakuamini hilo na matokeo biashara zenye mitaji ya kuungaunga zimekufa sana.
Sio kila mfanya biashara ana kadiriliwa kodi mwanzoni!!makampuni yote , wafanyabiashara wote wakubwa ambao wamesajiliwa na kodi ya ongezeko la thamani (VAT)wao ni kila mwezi wanapeleka returns zao, hivyo wanalipa kodi kulingana na mauzo /huduma waliyoyafanya kwa mwezi husika tu.hivyo hapo lazima kuwe na mabadiriko ya makusanyo, wale ambao hawana sifa ya kukusanya VAT, ndio tayari wameshakadiriwa, na ni wafanya biashara wadogo wadogo tu.hivyo lazima tu mapato yatapungua.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kwisheni tu, tumeshachoka! Kama huridhishwi na utawala wa hapa, jiunge na malaika huko, mkakazie kodi za huko!
 
Nyie mliokuwa mkifaidika binafsi na makosa ya magu mnaumia sana sasa, na bado.
 
Wajuzi wa mambo wanakwambia awamu ya JK, kuna wakati hazina kulikuwa hakuna kitu na ili alipe mishahara ya wafanyakazi lazima akwee pipa akawapigie magoti wazungu

Tulidharaulika kila kona, na hata vinchi vidogo kama Malawi na Rwanda walisimama na kutukebei na bila hiyana JK hakupanua hata domo lake kuitetea nchi hii

Magu kairudisha heshima yetu, lakini huyu msaidizi wake atatupeleka kule Kule tukajipendekeze wakati tuna nguvu ya kufanya kazi na kulipa kodi na kuijenga nchi hii kwa nguvu zetu wenyewe

Tuna deni kwa vizazi vyetu, watanzania tusipende mteremko
 
Hapa watu wanalipa kodi mtu anaenda kununua ndege kwa cash ambazo zinazalisha hasara tu, anajenga uwanja ndege na hoteli kijijini kwake , anatembea na maburungutu ya pesa anagawa hovyo barabarani!

Sijui yule mzee alikuwa na akili gani yule!!!

Alikuwa hasa anawaza nini kichwani mwake?maana uwanja wa ndege kijijini tena wa kimataifa kweli huyu alikuwa na akili timamu?
 
hakika tunarudi tulikotoka inatia uchungu sana miaka mitano tumeona mabadiliko ya maendeleo ya waziwazi sasa tunarudi tena kwenye zama za kuambia nchi haina uwezo

hakika magu ametufumbua macho kuwa nchi si maskini na tunaweza kujitegemea bila msaada wowote ule
Hakuna namna mkuu. Kinachokuja ni kukimbizwa hadi kwenye mashamba ya mihogo, kugongwa mitama na kupiwa chanjo. Tuwe wapole tu
 
Back
Top Bottom