Mama Samia ameingia kwenye mtego wa wafanyabiashara kubembelezwa kulipa kodi, tumekwisha!

Mtoa mada anzisha biashara ili nawe ubembelezwe
Sekta binafsi ndio mlipa kodi namba moja kwa serikali yetu , handle it with care ,
 
hakika tunarudi tulikotoka inatia uchungu sana miaka mitano tumeona mabadiliko ya maendeleo ya waziwazi sasa tunarudi tena kwenye zama za kuambia nchi haina uwezo

hakika magu ametufumbua macho kuwa nchi si maskini na tunaweza kujitegemea bila msaada wowote ule
Maendeleo gani unayosemea ya wazi wazi ? Hiyo Atcl yenye kutupa hasara ya 60 bil kila mwaka? Au chato airport?
 
Tushaongea Sana haya,kilichobaki Ni kusubiri na kuona tu.
Mama badobado hajakalia kiti vizuri akikalia basi atakua tofauti kabisa.
Duniani hakuna mfanya biashara anayependa kulipa Kodi.Na walioitwa wawekezaji/wafanya biashara walokimbia wote walikua either wakwepaji Kodi au wanyonyaji kwa mataifa yaliyoendelea.
Bado wananchi wazalendo tuendelee I kupaza sauti atasikia
Mlichofanikiwa kuuaminisha imma ni kuwa , kila mtu anayeilalamikia serikali ni mhujumu uchumi au mpiga dili
Bei ya mbaazi ilifika 2300 kwa kilo mwaka 2016 mmemsumbua manji , sasa mbaazi hazina tena soko. ukiuza 300 kwa kilo una bahati.
Halafu kukwepa kodi kwa tech ya sasa ni ngumu sana, efd zina record karibu kila kitu na ni ngumu kutotoa receipt na ukasurvive . Mtu akizungunzia mambo ya kukwepa kodi au kupiga Tax deals kwa sasa naona kama sio mfanyabiashara wa kweli.
 
Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.

Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Mkuu
Unalinganisha mazingira ya kodi za ulaya na nchi zinazoendelea ?
Unafahamu kwa nini tunatumia mitumba huku kuanzia nguo magari hadi mitambo? Ni kwamba hii mitumba inakuwa subjected kwenye makodi makubwa huko ndo maan a wao huamua kutupia afrika,
Sasa tunatumia products za mitumba katika uzalishaji wako halafu unataja utumie sheria za kodi za ulaya , lazima ufeli
Vat threshold Tanzania ni mil 100, uk vat threshold ni pound 85000 , karibu milioni 273 , maana rahisi ni kuwa TRA inasajili wafanya biashara Vat wakiwa bado wachanga kabisa ndo maana kila siku ni kukimbizana na kesi za Vat.
 
Tunamuomba Mama apunguze VAT ili ilipike kwa urahisi aifanye hata 6% au even lower

Tunamuomba Mama apunguze Utitiri wa Kodi na matozo ya mateso
Mkuu
Vat yenyewe watu wanaingizwa kibabe , kwetu unasajiliwa vat ukifika turnover ya milioni 100 , uk ni milioni 273 approximately, south africa ni wastani wa 159 milion
 
Hii njemba inaonekana ni kwepa kodi iliyopewa mbinyo.....
Hata biashara sidhani kama anafanya , hawa ni praise team wa the late , na waliamini kila kitu alichosema.

Hawa hata wangemkuta shambani anapanda mahindi yaliyokaangwa , bado wangeamini yangeota!
 
Wajuzi wa mambo wanakwambia awamu ya JK, kuna wakati hazina kulikuwa hakuna kitu na ili alipe mishahara ya wafanyakazi lazima akwee pipa akawapigie magoti wazungu

Tulidharaulika kila kona, na hata vinchi vidogo kama Malawi na Rwanda walisimama na kutukebei na bila hiyana JK hakupanua hata domo lake kuitetea nchi hii

Magu kairudisha heshima yetu, lakini huyu msaidizi wake atatupeleka kule Kule tukajipendekeze wakati tuna nguvu ya kufanya kazi na kulipa kodi na kuijenga nchi hii kwa nguvu zetu wenyewe

Tuna deni kwa vizazi vyetu, watanzania tusipende mteremko
Uongo wa mchana.
Mliozoea kulipwa vihela kutokana na dhuluma sasa mnaona vyanzo vitakauka.
Anzisha na wewe biashara yako ili ulipe kodi kuokoa nchi.
 
Hata hujui unaongea nini...
Nchi gani ulaya una file hizo returns unaposema halaf baada ya 2,3 yrs wanaibuka na kusema lipa more zile za wakati ule hukuwa umepewa makadirio halisi ?

Wapi unafuatwa na mabunduki au funguliwa kesi za uhujumu lkn wanakupa option lipa kiasi yaishe ???

Huyu hataki sifa, wala dhulma. Anataka kodi halali na kuongeza tax base.
Msikilize hata Mwinyi zanzibar, huo ndo uchumi na principles zake sio hizo sera za kishamba na hazipo ktk economic principles...
Mtu ana Tax clearance , unawezaje kumkadiria upya kwa miaka mitano au kumi nyuma ,? Ulikuwa wapi na kuwa nini ulimpa Tax clearance ?
mahakama zingekuwa huru haya mambo yasingetokea
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Mapato yakishuka, yameshuka. Tuna miradi kibao ya kimkakati tunayoifanya kwa pesa zetu za ndani ambazo ni kodi. Sasa badala ya kukaza hapo hapo, huku tukibuni vyanzo vipya sie twatepeta. Mpango alisema anataka TRA wakusanye trillion 2,itashuka mpaka 800Bil maana hiyo 1 trillion tulipo tra walijitahidi kwa mateke na magumi. Hatua kumi mbele, hatua thelathini nyuma.
 
Binafsi naona mama angepunguza speed, wafanyabiashara siyo watu wamchezomchezo mbele ya pesa. Pia kuagiza kesi zisizo na ushahidi au ushahidi hafifu zifutwe, watu watazifuta kweli na zisizo stahili kufutwa.
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Atavuna mabua kweli kweli.Lakini tangu lini watu wa pwani walio wengi wakawa serious on serious issues?Hapa tumeliwa.CCM mpo?Mtatuuza tena kwa mabeberu kama mlivyo tuuza enzi za akina Mkapa na Kikwete?
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Huyu mama ni dhaifu sana, na ameshajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, ngoja acheke na nyani alafu aje avune mabua, lakini muda utasema ngoja tumzoom.
 
Binafsi naona mama angepunguza speed, wafanyabiashara siyo watu wamchezomchezo mbele ya pesa. Pia kuagiza kesi zisizo na ushahidi au ushahidi hafifu zifutwe, watu watazifuta kweli na zisizo stahili kufutwa.
TRA waje nyumbani kwako kukusanya kodi.
Wakunyang'ang'anye kama wanavyofanya kwa wafanyabiasara.
 
Binafsi naona mama angepunguza speed, wafanyabiashara siyo watu wamchezomchezo mbele ya pesa. Pia kuagiza kesi zisizo na ushahidi au ushahidi hafifu zifutwe, watu watazifuta kweli na zisizo stahili kufutwa.
Yaani huyu mama aisee,sijui hajui athari za anayoyafanya?Yaani inafikirisha sana.Huyu ndiye tuliyeaminishwa kwamba amekaa chini ya Magufuli kwa hiyo kaiva.CCM do something and fast vinginevyo we are sliding towards Kikwete era.Utawachekeaje mabeberu,wafanyabiashara na mafisadi?
 
Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.

Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?

Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?

Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo

Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.

Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.

Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.

Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.

Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?

Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.

Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
1.) Unaonaje na wewe ukaanzisha biashara, dumu nayo hata kwa miaka miwili 2, halafu rudi usome tena huu uzi wako.

2.) Leo mnakiri kuwa idadi ya watu ni rasilimali, sasa kwanini mnabeza wanaopinga uzaziwa mpango?
 
TRA wamefanya makosa makubwa kuanzia 2015 kuelekea 2020 lazima tuwe wakweli. Lengo la kumpa mambo ya nje Mama Mulamula ni kujenga picha ya kimataifa kwamba tupo na nyinyi, na sisi ni sehemu ya dunia yenye mahitaji yanayobadilika.

Huwezi kuwa na mabadiliko ya kimtazamo kimataifa halafu usiwe na mabadiliko ya kimtazamo katika masuala ya kodi ambayo yanao uhusiano na nchi kutazamwa kidunia.

Naamini mabadiliko yanayokwenda kufanyika katika muelekeo ya masuala ya kodi hautaumiza pande mbili kwa maana ya serikali na jamii ya wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom