Umenena vyema kabisaKodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena vyema kabisaKodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
We pumba heri uache kuongea na ule serengeti lite kwa helo uliyosevu vikao!Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Nadhani wengi wenye maoni kama yako hamjamuelewa mama,yeye anataka mazingira mazuri ya ukusanyaji wa kodi bila kutumia nguvu nyingi, akili kidogo .Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
How strict are they ?Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Unazungumza masuala ya kodi kama layman kabisa!Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Umemaliza yote Tumuombee sana huyu mama mtego mwengine mbaya zaid nicovid 19 tume ya usaliti ikiundwa tumeangamia tutaanza kuhesabu maiti kama walivyosemaga nawaza kama mzee afufuke vile ila Munguyupo kiza nene tutapita tuMaombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Wewe umeenda shule gani ambayo ulifundishwa kwamba wafanyabiashara huwa wanabankiwa kodi? Huwa wanadaiwa kodi kwa bunduki na pingu. Huwa wanyanganywa pesa zao benki kwa mabavu?Kodi sio sababu ya kwanza ya kukimbiza wafanyabiashara. Hii ni hoja ya watu wajinga ambao hawakwenda shule.
Huko ulaya kuna very strict laws za kodi, umeona kama wafanyabiashara wanakimbia ulaya?
Acheni hoja za kijinga, TRA walichokuwa wanafanya ni unyang'anyi wa wazi tena uliokuwa na siasa ndani. Hii ndio sababu baadhi ya watu walihamisha biashara kwenda nchi jirani. Katika nchi zinazojitambua, walipa kodi hasa wale wakubwa hulindwa, na serikali huweza kutoa pesa kuwasaidia wakiyumba kibiashara.Ile task force ya kuvamia maduka kwa jina la kodi ianze kulima Viazi kwa sasa.Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kaka umeongea kila kilichokua akilini mwangu. Mstari baada mstari, neno kwa neno. Hakika ameingia mtego wa ajabu sana. Ninachojiuliza kama wafanyabiashara wanalalamika kodi na hivyo biashara nyingi zinafungwa. Mbona toka serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani, mapato yalikua yanaongezeka kila siku hayashuki. Sasa kwanni anataka yashuke ili yapande tena? Ili iweje? Haoni kama hiyo ni kucheza bahati nasibu? Anataka kuwafurahisha kina nani?Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kwa hiyo unataka mama aache TRA waendelee kudhulumu wafanyabiashara? Hebu ongeza sauti kidogo.Hapa kwenye issue za Kodi mama angeenda slow kidogo apokee ushauri afanye analysis ya kutosha ndo atoe matamko na maelekezo . I can see umakini mkubwa unahitajika kwenye hili maana tunaweza kuja kulaumiana badae.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Acheni hoja za kijinga, TRA walichokuwa wanafanya ni unyang'anyi wa wazi tena uliokuwa na siasa ndani. Hii ndio sababu baadhi ya watu walihamisha biashara kwenda nchi jirani. Katika nchi zinazojitambua, walipa kodi hasa wale wakubwa hulindwa, na serikali huweza kutoa pesa kuwasaidia wakiyumba kibiashara.Ile task force ya kuvamia maduka kwa jina la kodi ianze kulima Viazi kwa sasa.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wakati wa JK hakukua na ubabe kwenye kodi. Alikua anakusanya sh. Ngapi? Alivyoingia JPM yaliongezeka mara mbili na hayajawahi kushuka. Sasa alikua anayapata wapi na biashara mnasema zilikua zinafungwa?Ukifanya ubabe Wafanyabiashara au Wawekezaji si wanafunga wanahamia Nchi zingine ambazo zina mazingira ya kuvutia.
Na kwa taarifa yako, Nchi hizo zipo nyingi sana.
Tumekaa hapa kwa ubabe ubabe wa kishamba matokeo yake mzunguko wa pesa HAKUNA! Kila mtu analia 'vyuma vimekaza'!.
Kwanza mliwahi kuona wapi wasukuma wakajua biashara!? Nchi tuliiweka kwenye mikono ya hovyo sana na ndio maana kila kitu kiliharibika.
Mama Mjanja anajua afanye nini ili pesa irudi kwenye mzunguko kama ilivyokuwa awali.
Nchi inaelekea enzi za mzee ruksa, itafikia wafanyakazi wa nakosa salary. Awe serious na kodi.Maombi yangu siku zote ilikua mama asiingie mkenge wa wafanya biashara maana tunajua kitakachotokea.
Bahati mbaya mama ameuvaa mkenge wa wafanya biashara. Tusitegemee chochote cha maana kufanyika kwa miaka 4 ijayo. Mama mwenyewe amekiri kua kwa kauli yake makusanyo yatashuka, unajiuliza kwa nini yashuke?
Mama ana matumaini kua makusanyo yakishuka baada ya muda yatapanda, yatapandaje? Nini kitayapandisha?
Ukiona kiongozi hayuko firm and strong kwenye kodi, basi ujue hiyo nchi iko doomed to fail. Nashukuru hayati alikua wazi kwenye hilo, alikua wazi na firm kwenye hilo
Kodi ni jambo ambalo halihitaji kubembelezana, hakuna mfanyabiashara anaetaka kulipa kodi, awe tajiri mkubwa awe mdogo hakuna. Kipindi kile Magufuli anaingia kina Azam walikutwa wanakwepa kodi ya kutosha,itakuaje kwa wafanya biashara wadogo na wa kati? Hilo liko wazi kodi ni jambo ambalo hakuna mfanya biashara anataka kulisikia.
Hakuna mfanyabiashara atakaelalamika ikiwa mfumo wa kukusanya kodi ni dhaifu, hayupo. Maana mifumo dhaifu ya kukusanya kodi ni faida kwa wafanya biashara.
Siku zote wafanya biashara hawako tayari kulipa kodi kwani itawapunguzia mapato yao.
Hizo nchi za ulaya hawabembelezani kwenye kodi na kila mwananchi anajaza tax returns awe na kazi awe hana kazi. Nchi zote zilizoendelea hawana cha msalia mtume kwenye kodi.
Sisi tunabembelezana kuhusu kulipa kodi halafu tunaenda kuomba msaada na mikopo kwa watu ambao hawabembelezani kwenye kodi, hizi ni akili ama matope?
Tanzania nchi yenye watu 60m inaenda kuomba msaada Finland nchi yenye watu 5m wakazi wa Dar tu wanazidi wananchi wa Finland, ama Norway 5m ama Sweden 10m, hii ni akili kweli? Na sababu no moja tu, Finland kila mtu analipa kodi na hakuna kubembelezana na ukikwepa kulipa kodi unafilisiwa kabisa.
Mama ameanza kupenda cheap popularity, ameanza kucheka na nyani atavuna tu mabua.
Kodi ilitoka bil. 700 kwa mwezi mpaka wastani trilioni 1.7 kwa mwezi. Hakuna kubembelezana kwenye kodi. Nchi zilizoendelea watu wanalipa kodi mpaka kero. Lakini wenzetu wamezoea coz wanajua wanachangia maendeleo yao. Huku kwetu tunataka lele mama. Haya tumempata mama wacha atulee. Muda utaongeamlipotumia mabavu ni kodi gani endelevu mliyoipata?
Sera za kodi huwa zinaweza kubadilishwa kwa kuangalia maeneo ya kimkakati lakini siyo kutoa 'loop holes' za watu kukwepa kodi ukidhani ndo unawavutia wafanyabiashara. Mwinyi yeye alitaka kodi zipunguzwe ili watu wengi wafanye biashara akusanye kodi lakini siyo kubembeleza wafanyabiashara. Mama kama angetaka, angepunguza tu kodi ili tuone hizo biashara nyingi zikifunguliwa tena kwenye maeneo maalum. So far makusanyo yapo juu hayajawahi kushuka, ina maana Serikali haina hasara yoyote ile. Isipokua tu angewapa ahueni wafanya biasharaKwa sasa hayatashuka kwa sabab tayar wameshakadiriwa mapato ya mwaka mzima. Labda biashara mpya ndizo zenye nafasi ya negotiation.
Naona anafuata msimamo wa kakake Mwinyi. Msimamo wa mwinyi ni kukusanya kodi kidogo kidogo kwa watu wengi wakati mwendazake hakuamini hilo na matokeo biashara zenye mitaji ya kuungaunga zimekufa sana.
Isingepata kodi wapi? Toka kelele zimeanza kupigwa, ndo kwanza mapato yalikua yanaongezeka kila mwezi. Kwa ufupi, mama kaingia mtegoni, huku kwenye kodi asingepagusa kabisa. Miradi yote itasimama, tutaanza bakuli tena.Hii mijamaa haijui biashara zilikuwa zina kufa na mwisho serikali isingepata kodi kabisa!