Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mkuu Mimi nashangaa mnavyowasingizia hao usalama wa taifa Kwan wao ndo wanachagua rais..
Si tunaonaga michakato inavyoendaga dodoma..
Au nyie mnakuaga wapi sjui ..sjui mnasahau..
Usalama wa taifa tunawaonea t mkuu ..
Inawezekana wanatoa ushauri Ila nafkiri wanaishiaga hapo kwenye ushauri tu..
 
Hilo ni neno. Kama anayekaguliwa kaguliwa ni yeye, sasa uzushi umko wapi? Yule fundi simu aachiwe halaka na wamlipe fidia....!!
 
Wachache wenye akili hii. Raha ya JF lakini.
 
Si tulikubaliana kuwa kusalimiana tutakuwa tunapungiana mkono akiwa na CONVOY lake sasa leo tunapata salamu kwa kinywa cha mtu mwingine.
 
Haya ndiyo yalitakiwa wakati wote, si wakati huu pekee (sijui ana maana gani na wakati huu). Kuna kitu gani kilichotokea tofauti "wakati huu"?
 
Haya ndiyo yalitakiwa wakati wote, si wakati huu pekee (sijui ana maana gani na wakati huu). Kuna kitu gani kilichotokea tofauti "wakati huu"?
Kilichotokea ni kuibuka kwa mzushi huko Ubelgiji anayelichafua taifa letu!
 
Mimi nitasimama na Samia Suluhu. Unakumbuka wakati nikikupiga shule yako ya MCEd pale Huria. Yale macho mlegezo si mchejo yaani.
 
Naanza kuamini kuwa akina @Chahali na ile story You Tube na Kigogo Tweer wametuingiza chaka.
Kigogo huwa hawezi kusema taarifa halafu zikabaki kuwa tetesi indefinetely, hiyo haipo. Kigogo akisema kitu lazima na wengine wataki-confirm baada ya muda mfupi. Alichokiona hapa Kigogo ni kwamba amemkosa Rais ila akwa hajui yuko wapi na nini kinaendelea. Kwa hiyo ikabidi sasa abuni stori ya ukosekano huo.

Mimi hapa nilipo nina theory moja tu kuhusu kutokuonekana kwake. Possibly ameamua kufanya hivyo kupunguza kelele za watu ili asionekane kuwa Rais wa nchi ndiye anayehamasisha watu kutokuvaa barakoa, wakati kuna watu wanadai kuwa tuna Corona. Yeye anaamini ni kweli kuna kitu kipo kinagharimu maisha ya watu, ila siyo Corona. Now in the presence of anything else different from Corona, JPM huwezi kumuona hata siku moja amevaa Barakoa

Kama kweli Corona isingekuwa imeisha, mwaka jana 2020 tusingeweza kufanya kampeni za uchaguzi, na hata Tundu Lissu mwenyewe asingekuja. Muda wote TL alikuwa hapa amefanya kampeni hadi kumaliza akiwa hajavaa barakoa. Je, kipindi hicho Corona ilikuwepo au haikuwepo?
 
Hii sub anatoka kapteni na kumvalisha kitambaa kapteni msaidizi?
Au ni pre season match ambacho fitness inaangaliwa zaidi ili kujihakikushia namba kikosi cha 1?

Naona kama warming up imekuwa kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…