Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
kwanini wakati huu unaitwa wakati muhimu?
Kuna nini mpaka tunaambiwa tushikamane jamani??
Kuna nini mpaka tunaambiwa tushikamane jamani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye kujenga hoja huyo Intaprinyuwaa wenu unaweza kumlinganisha na Salimu Mwalimu???Imagine that scenario. Eti Salum Mwalimu awe President in waiting.. kweli!?
Mkuu Mimi nashangaa mnavyowasingizia hao usalama wa taifa Kwan wao ndo wanachagua rais..Makamu wa Rais yupo anazurura huko huku tukiwa hatujui Nchi inaongozwa na nani sasa hivi
Huu ukondoo haupaswi kupigiwa chapuo. Next time inatakiwa achaguliwe Makamu wa Rais strong mwenye uwezo wa kumcontrol boss wake na kuchukua hatamu za uongozi bila hofu wala woga pale inapobidi.
Wenzetu Kenya waliliona hilo kitambo na ndio maana wakaweka cheo cha Deputy President - mtu ambae Rais wa Nchi hawezi kumtumbua kienyeji
Huyu mama anatia shaka kama yupo tayari na kama anao uwezo wa kukamata uongozi. Usalama wa Taifa wanapaswa kuchukua hii kama lesson moving forwa
Hilo ni neno. Kama anayekaguliwa kaguliwa ni yeye, sasa uzushi umko wapi? Yule fundi simu aachiwe halaka na wamlipe fidia....!!"Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile."
Ni nani huyo anayekaguliwa tena wakati?
Kama ni no 1 ina maana PM aliudanganya umma kuwa yupo fit na anachapa kazi?
Kama ni no 1 je hawa watu wanaokamatwa kuwa wanazusha je wataachiwa huru maana tuhuma zao wanazoshtakiwa itaonekana ni kweli kwa kauli hii?
Inawezekana Huyo ndo raisMsafara una ulinzi mkubwa sana si kawaida. Hayo mambo tumezoea kuona kwenye misafara ya Magufuli tu.
Mmh
Huyu jamaa anaanza kutupa wasiwasi
hainiumiKwani mkuu huwa inakuuma?
Wachache wenye akili hii. Raha ya JF lakini.My take:
Sasa hivi kuna power struggle ndani ya chama chetu. Mama kagundua anaweza kuwa side-stepped na MATAGA gang.
Speech yake ya leo ni kilio kwa Watanzania wote (hususani wasio wafuasi wa chama chetu na wasio MATAGA gang) wamuunge mkono ili asienguliwe na hao wahafidhina.
It's there for all to see and hear!
Unavuliwa uanachama unapigwa lockupKama Abood Mwinyi Jumbe?
Haya ndiyo yalitakiwa wakati wote, si wakati huu pekee (sijui ana maana gani na wakati huu). Kuna kitu gani kilichotokea tofauti "wakati huu"?Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu. Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje nasi yakatuparaganya vichwa.
Nawaomba wote tushikane kwa umoja kwa mshikamano wetu kama watanzania, tuendelee kuchapa kazi kama sisi tulivyokuja tunachapa kazi, tunaangalia miradi, watu wote shughulikeni na mambo yenu, jengeni Taifa lenu tujenge umoja na mshikamano wetu ili Tanzania yetu iwe Taifa Imara.
Kilichotokea ni kuibuka kwa mzushi huko Ubelgiji anayelichafua taifa letu!Haya ndiyo yalitakiwa wakati wote, si wakati huu pekee (sijui ana maana gani na wakati huu). Kuna kitu gani kilichotokea tofauti "wakati huu"?
Ewaaaa btn the lines .
Jiwe keshadondoka.
Mimi nitasimama na Samia Suluhu. Unakumbuka wakati nikikupiga shule yako ya MCEd pale Huria. Yale macho mlegezo si mchejo yaani."Niwashukuru kwamba nimeweza kusimama tumesalimiana, ninalotaka kuwahakikishia ndugu zangu, Tanzania tuko salama, Tanzania tuko salama. Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile"
Maneno haya Mama yetu mbona yanaleta maswali sana, Anashukuru ameweza kusimama? Mbona hatujawai pewa taarifa yoyote kua alikua anaumwa? Au kusimama kwa namna gani? Maana hiyo ziara imeandaliwa muda maana ake alijiandaa kwa hilo.
Huyu aliyekaguliwa kaguliwa ni yupi?
Yaani Leo mama yetu kasafiri kutoka DSM ili kuja kutuhisia watanzania tuwe na umoja na kushikamana kipindi hiki. Hiki kipindi anachokisema mama yetu ni kipindi cha namna gani?
Maana huku sisi tunaendelea kujifukiza, na kushagilia nchi yetu pamoja kua dunia inakubwa na korona sisi uchumi umepanda hadi uchumi wa kati.
Leo sijamuelewa kabsa Mama Yetu
Kigogo huwa hawezi kusema taarifa halafu zikabaki kuwa tetesi indefinetely, hiyo haipo. Kigogo akisema kitu lazima na wengine wataki-confirm baada ya muda mfupi. Alichokiona hapa Kigogo ni kwamba amemkosa Rais ila akwa hajui yuko wapi na nini kinaendelea. Kwa hiyo ikabidi sasa abuni stori ya ukosekano huo.Naanza kuamini kuwa akina @Chahali na ile story You Tube na Kigogo Tweer wametuingiza chaka.