Najaribu kufikiria machozi ya wajane, na yatima walio achwa na wanaume walio katizwa maisha na serikali hii. Mawazo, Saanane, Azori,,,,, hivi huu mshikamano una ziingia hizi familia akilini kweli. ???Mmejiuliza sababu ya mshikamano kuwa duni ?
Kila tatizo lina chanzo...
Na hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo
NyunguHatari. Jana hakuonekana Church. Last week bilabila. Muda ni mwalimu mzuri.
Chuki iliyopo sio suala jepesi kama watu wanavyofikiri ila acha waifuge! Ipo siku watajatambuaNajaribu kufikiria machozi ya wajane, na yatima walio achwa na wanaume walio katizwa maisha na serikali hii. Mawazo, Saanane, Azori,,,,, hivi huu mshikamano una ziingia hizi familia akilini kweli. ???
Hivi kuna wa kuombewa na wakuachwa wajane?
Huyu Mungu wetu hana ubaguzi hutoa maamuzi ya haki.
Simuombei mtu baya ila natamani asife ila awe hajiwezi aone Mungu alivyo mwema.
Nyerere anaingiaje kwenye ukabila wakati alikataa ukabila nchini huoni kama ni double standardwezi, wabinafsi,wana roho mbaya ,waroho wa mali na madaraka, wana laana ya nyerere.
nyerere alituonya tusije wapa nchi wachaga. wewe si unaona mifano watu kama kina lemaNyerere anaingiaje kwenye ukabila wakati alikataa ukabila nchini huoni kama ni double standard
Chukua hilo hilo lipi huenda likakusaidia, haya mengine yataendelea kukuchanganya tu Mkuu.Mbona sielewi elewi....
Mara kafa...
Mara yuko hoi...
Mara yuko fit...
Nichukue lipi...?
Kwa maana iyo Nyerere alikua ni mkabilanyerere alituonya tusije wapa nchi wachaga. wewe si unaona mifano watu kama kina lema
wachaga mbona mshamuita majina yote hata ukimuita hivyo ni sawa tu.Kwa maana iyo Nyerere alikua ni mkabila
Asante mkuu...Chukua hilo hilo lipi huenda likakusaidia, haya mengine yataendelea kukuchanganya tu Mkuu.
Me mwenyewe sielewikwani ameonekana [emoji15][emoji15][emoji15] ?
Ulishawahi kuishi na Wachaggawachaga mbona mshamuita majina yote hata ukimuita hivyo ni sawa tu.
aisee nivungie kama vp ushanichoshaUlishawahi kuishi na Wachagga
Omera pimnaWanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime