LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Najaribu kufikiria machozi ya wajane, na yatima walio achwa na wanaume walio katizwa maisha na serikali hii. Mawazo, Saanane, Azori,,,,, hivi huu mshikamano una ziingia hizi familia akilini kweli. ???Mmejiuliza sababu ya mshikamano kuwa duni ?
Kila tatizo lina chanzo...
Na hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo
Hivi kuna wa kuombewa na wakuachwa wajane?
Huyu Mungu wetu hana ubaguzi hutoa maamuzi ya haki.
Simuombei mtu baya ila natamani asife ila awe hajiwezi aone Mungu alivyo mwema.