Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mmejiuliza sababu ya mshikamano kuwa duni ?

Kila tatizo lina chanzo...

Na hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo
Najaribu kufikiria machozi ya wajane, na yatima walio achwa na wanaume walio katizwa maisha na serikali hii. Mawazo, Saanane, Azori,,,,, hivi huu mshikamano una ziingia hizi familia akilini kweli. ???
Hivi kuna wa kuombewa na wakuachwa wajane?
Huyu Mungu wetu hana ubaguzi hutoa maamuzi ya haki.
Simuombei mtu baya ila natamani asife ila awe hajiwezi aone Mungu alivyo mwema.
 
Chuki iliyopo sio suala jepesi kama watu wanavyofikiri ila acha waifuge! Ipo siku watajatambua
 
Kwanini Ziara za VP zimeanza kutanganzwa? Ilihali huwa hazitangazwagi, bali ni za mweshimiwa tu.
 
Mbona sielewi elewi....

Mara kafa...
Mara yuko hoi...
Mara yuko fit...
Nichukue lipi...?
 
Nadhani ingekua vyema kwa viongozi wa serikali kusitisha ziara zao. Wanapaswa kuwaonea watu huruma, hili janga la UVICO 19 bado lipo, na linaua watanzania wengi. Hii mikusanyiko ya raia kwenye ziara za viongozi inapaswa kuepukwa.
 
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
Omera pimna
 
1615912456190.jpeg
 
Back
Top Bottom