Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Imagine that scenario. Eti Salum Mwalimu awe President in waiting.. kweli!?Tundu Lisu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine that scenario. Eti Salum Mwalimu awe President in waiting.. kweli!?Tundu Lisu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!
Imagine that scenario. Eti Salum Mwalimu awe President in waiting.. kweli!?
Kama yu hai na amefunga basi anashinda njaa hakuna mfungaji wa aina ile, mtu anaeongoza nchi iliojaa machoziAmefunga Kwaresma na kuiombea nchi, subili utamuona siku ya Pasaka.
Tutupiemo na kapicha jamani
Trump!Trump na Lissu nani anaunafuu?
Leo hujaenda Mkoga!!Kufeli kwa Tundu Lisu!
Wamemtoa Dar wakae vikao vya siri.
Siku ukiacha kuota mchana huku unaendesha baiskeli basi tutajua umekomaa!Suala la Lissu kupata kura nyingi halina ubishi, tatizo lipo kwenye kutangazwa mshindi. Wapinzani wajipange mapema namna ya kujumlisha kura ili tume wakifanya yao nao wafanye yao.
Tupo kwenye kanisa la kaka yake Peter Msigwa aliyewahi kuwa mbunge tunajadili kilimo cha bangayeye!Leo hujaenda Mkoga!!
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Mkuu picha inaongea VIZURI zaidi kuliko maneno,nadhan majibu TUNAYO...
Ni ujinga waoKinachiwanunisha?
Yaani Tundu Lissu, Mnyika, Salum Mwalim, Gwarugwa plus Faru John utegemee kupata taarifa reliable kweliiiiiiiiiiiiiiiiii du CHADEMA majanga matupu. Hongera Halima &co kwa kujitambua, hata hivyo mmepoteza muda wenu sana hukoTundu Lisu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!