Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Bado sifahamu kitu maana mimi ni mdogo sana katika hii nchi, endelea na ziara Mungu akulinde.
 
"Niwashukuru kwamba nimeweza kusimama tumesalimiana, ninalotaka kuwahakikishia ndugu zangu, Tanzania tuko salama, Tanzania tuko salama. Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile"

Maneno haya Mama yetu mbona yanaleta maswali sana, Anashukuru ameweza kusimama? Mbona hatujawai pewa taarifa yoyote kua alikua anaumwa? Au kusimama kwa namna gani? Maana hiyo ziara imeandaliwa muda maana ake alijiandaa kwa hilo.

Huyu aliyekaguliwa kaguliwa ni yupi?

Yaani Leo mama yetu kasafiri kutoka DSM ili kuja kutuhisia watanzania tuwe na umoja na kushikamana kipindi hiki. Hiki kipindi anachokisema mama yetu ni kipindi cha namna gani?

Maana huku sisi tunaendelea kujifukiza, na kushagilia nchi yetu pamoja kua dunia inakubwa na korona sisi uchumi umepanda hadi uchumi wa kati.

Leo sijamuelewa kabsa Mama Yetu
 
Makamu wa Rais yupo anazurura huko huku tukiwa hatujui Nchi inaongozwa na nani sasa hivi

Huu ukondoo haupaswi kupigiwa chapuo. Next time inatakiwa achaguliwe Makamu wa Rais strong mwenye uwezo wa kumcontrol boss wake na kuchukua hatamu za uongozi bila hofu wala woga pale inapobidi.

Wenzetu Kenya waliliona hilo kitambo na ndio maana wakaweka cheo cha Deputy President - mtu ambae Rais wa Nchi hawezi kumtumbua kienyeji

Huyu mama anatia shaka kama yupo tayari na kama anao uwezo wa kukamata uongozi. Usalama wa Taifa wanapaswa kuchukua hii kama lesson moving forward
 
Makamu wa Rais yupo anazurura huko huku tukiwa hatujui Nchi inaongozwa na nani sasa hivi

Huu ukondoo haupaswi kupigiwa chapuo. Next time inatakiwa achaguliwe Makamu wa Rais strong mwenye uwezo wa kummcontrol boss wake na kuchukua hatamu za uongozi bila hofu wala woga pale inapobidi

Huyu mama anatia shaka kama yupo tayari na ana uwezo wa kukamata uongozi. Usalama wa Tsifa wanapaswa kuchukua hii kama lesson moving forward
Tundu Lissu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!
 
Back
Top Bottom