Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Acheni ujinga mwamba ni mzima bukheri wa Afya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi naungana na wewe mkuu walau nikiona jumbe kama hizi za kufariji kidogo furaha inarudi.Ila una uhakika mkuu? yaani binafsi sijui kwakweli yaani kwa kifupi nimechanganyikiwa.Acheni ujinga mwamba ni mzima bukheri wa Afya.
Mkuu wala usisikilize hizi mitandao nakwambiaje mwamba yupo fresh kabisa.Hata mimi naungana na wewe mkuu walau nikiona jumbe kama hizi za kufariji kidogo furaha inarudi.Ila una uhakika mkuu? yaani binafsi sijui kwakweli yaani kwa kifupi nimechanganyikiwa
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kinachowanunisha?BAVICHA wamenuna
Wasukuma fulani hivi.Nani haoí ¾í´
Tutupiemo na kapicha jamaniMsafara una ulinzi mkubwa sana si kawaida. Hayo mambo tumezoea kuona kwenye misafara ya Magufuli tu.
Mmh
Huyu jamaa anaanza kutupa wasiwasi
We muache azubae atakuta mwana si wake.í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£í ¾í´£ unawezaje kutumwa na watu ulipaswa uwatume?
Kufeli kwa Tundu LissuKinachiwanunisha?
Tundu Lissu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!Makamu wa Rais yupo anazurura huko huku tukiwa hatujui Nchi inaongozwa na nani sasa hivi
Huu ukondoo haupaswi kupigiwa chapuo. Next time inatakiwa achaguliwe Makamu wa Rais strong mwenye uwezo wa kummcontrol boss wake na kuchukua hatamu za uongozi bila hofu wala woga pale inapobidi
Huyu mama anatia shaka kama yupo tayari na ana uwezo wa kukamata uongozi. Usalama wa Tsifa wanapaswa kuchukua hii kama lesson moving forward
Tunakuombeeni nyote mpone harakaNi kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile.