Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Amefunga Kwaresma na kuiombea nchi, subili utamuona siku ya Pasaka.
Kama yu hai na amefunga basi anashinda njaa hakuna mfungaji wa aina ile, mtu anaeongoza nchi iliojaa machozi
 
"Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile.

Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu. Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje nasi yakatuparaganya vichwa."

Kwa maelezo haya, ni kweli tunauguliwa. Tuchape kazi, tuwe watulivu.
 
Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu. Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje nasi yakatuparaganya vichwa.



Nawaomba wote tushikane kwa umoja kwa mshikamano wetu kama watanzania, tuendelee kuchapa kazi kama sisi tulivyokuja tunachapa kazi, tunaangalia miradi, watu wote shughulikeni na mambo yenu, jengeni Taifa lenu tujenge umoja na mshikamano wetu ili Tanzania yetu iwe Taifa Imara.
 
Tundu Lisu na Salum Mwalimu....... yaani full comedy!
Yaani Tundu Lissu, Mnyika, Salum Mwalim, Gwarugwa plus Faru John utegemee kupata taarifa reliable kweliiiiiiiiiiiiiiiiii du CHADEMA majanga matupu. Hongera Halima &co kwa kujitambua, hata hivyo mmepoteza muda wenu sana huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…