Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

"Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile."

Ni nani huyo anayekaguliwa tena wakati?

Kama ni no 1 ina maana PM aliudanganya umma kuwa yupo fit na anachapa kazi?

Kama ni no 1 je hawa watu wanaokamatwa kuwa wanazusha je wataachiwa huru maana tuhuma zao wanazoshtakiwa itaonekana ni kweli kwa kauli hii?
 
Njaaa inaua watu
 
Mshikamano upi tena mama Samia? Au mgonjwa wetu ndo moto ushakata? Tuambieni tuanze kulibeba!!
Ziara ya kuandaa watu ...huwa inaanza kuondoka kwenye denier na kukubali kweli anaumwa lakini sio serious ni check up ...na mengine mengine ...ili kuwaandaa watu kwa Tangazo kubwa ikibidi ...na yeye pia kuanza kuonekana na wananchi kuwa anatawala ili ikitokea lolote isilete vacum ndio maana leo kawekewa live TBC ...MIKAKATI imeanza
 
Acha kutaja magalasa, andaa machozi mkuu
 
Poor methodology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…