Mama hana tamaa,Mama tulia ofisini, nenda kakomae mpaka kieleweke!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama hana tamaa,Mama tulia ofisini, nenda kakomae mpaka kieleweke!
Lini msafara wa makamu ulikuwa na magari machache!Mbona hajamshukuru mheshimiwa Rais,halafu magari ni mengi kama msafara wa rais
Ulinzi number moja ni kutoka kwa Mungu. Mungu akiuondoa hakuna binadamu wa kuulindaApatikane vipi, kwani alikuwa amepotea na ulinzi wote ule?
Time will tell.usipanikiYaani, yaani ugali wangu haushuki tena! Mama, tushikamane kwa sababu gani? Nani anakaguliwa kaguliwa afya? Yaani mwili wote umelegea! Mama, kwa nini unaongea kwa mafumbo? Kuna nini? Mbona mnataka tufe kwa kihoro jamani? Tupo tayari kupokea taatifa yoyote. Tuambieni tu jamani? Tunaumia jamani!
Nimekusoma mjomba ✔️Mama Samia Suluhu tuko pamoja Huyu mama Magufuli akimaliza kipindi chake cha uraisi apewe uraisi ana akili nyingi mno nampendekeza ugombea uraisi najua kuna makundi ya nje yamekaa kama fisi kwenye bucha yakisubiri muuza bucha atoke yale Nyama hayatafanikiwa.Bucha haitaachiwa fisi wa nje hata siku moja! meseji ndio hiyo Kila fisi wa nje anayedhani atapewa bucha hapewi kwa gharama yeyote awaambie fisi wenzie
Tanzania ni Tanzania na itabaki kama Tanzania ya watanzania milele.