simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
It s our turn to eat-nani kama mama? Zanzibar oyee😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naanza kuamini kuwa akina @Chahali na ile story You Tube na Kigogo Tweer wametuingiza chaka."Niwashukuru kwamba nimeweza kusimama tumesalimiana, ninalotaka kuwahakikishia ndugu zangu, Tanzania tuko salama, Tanzania tuko salama. Ni kawaida ya mwanadamu kukaguliwa kaguliwa, mara mafua, mara homa mara chochote kile"
Maneno haya Mama yetu mbona yanaleta maswali sana, Anashukuru ameweza kusimama? Mbona hatujawai pewa taarifa yoyote kua alikua anaumwa? Au kusimama kwa namna gani? Maana hiyo ziara imeandaliwa muda maana ake alijiandaa kwa hilo.
Huyu aliyekaguliwa kaguliwa ni yupi?
Yaani Leo mama yetu kasafiri kutoka DSM ili kuja kutuhisia watanzania tuwe na umoja na kushikamana kipindi hiki. Hiki kipindi anachokisema mama yetu ni kipindi cha namna gani?
Maana huku sisi tunaendelea kujifukiza, na kushagilia nchi yetu pamoja kua dunia inakubwa na korona sisi uchumi umepanda hadi uchumi wa kati.
Leo sijamuelewa kabsa Mama Yetu
Kama Abood Mwinyi Jumbe?Wamempa onyo vinginevyo house arrest
kasemaje tena?Dah.. kwa maneno ya TL huko Twitter, basi kweli dunia ni mapito tu jamani. Cha muhimu hapa duniani ni kuishi vizuri na watu na kufata misingi aliyoiweka Muumba basi!! Hakika hatuijui kesho yetu. Inasikitisha sana sana.
Mama hapa kuna kitu alitaka kuongea ,lakini hakumalizia.Wanasema'',Samaki anayo mengi ya kuongea lakini mdomoni ana maji''.
Ukiitaka Tanzania ya Magufuli baada ya muda wake. Omba mungu PM ateuliwe VP (whilst acting as the president) na Jaffo/Biteko awe PM hao ndio waliomuelewa.Kifupi miifisi ya nje ya nchi inayodhani Magufuli akiondoka 2025 au kabla kwa sababu yeyote itashika nchi .Wasahau Tanzania ni ya watanzania full stop.Wapeni huu ujumbe mafisi wote wa nje .Kuwa Tanzania ni ngome ya chuma isiyopenya fisi
Kila silaha ya fisi haitafanikiwa juu ya Tanzania .Hii habari mfikishieni yule fisi mbwa mkubwa
Kapicha mkuu tufrahishe machoMsafara una ulinzi mkubwa sana si kawaida. Hayo mambo tumezoea kuona kwenye misafara ya Magufuli tu.
Mmh
Huyu jamaa anaanza kutupa wasiwasi
Mama hapa kuna kitu alitaka kuongea ,lakini hakumalizia.Wanasema'',Samaki anayo mengi ya kuongea lakini mdomoni ana maji''.