Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

Incapacitated ...... a failed operations by his personal physicians ..ndio tatizo la kuabudu ukabila , unashindwa kutumia watu wazuri kwa kuhofia upumbavu ...unaenda kutumia mtu ambaye hajaingia theatre muda mrefu ...
Our beloved neighbours wanatucheka sana,wanatusaidia hadi kutafsiri katiba yetu,shame on us
 
Wanajua vizuri nilichoandika lakini Nasimama na mtazania mwenzangu Mama Suluhu na nimhakikishie mengine atuachie watanzania wenzie it is non of her busness .Fisi wa nje hawezi pewa bucha ya Tanzania leo kesho na hata milele

Cha maana kufahamu ni kuwa walioijenga nchi hii wako ndani ya CCM na walioifisidi (mafisi) wako huko huko ndani ya CCM. Kinachobadilika huwa ni awamu tu na timu zake.

Sasa sijui inayoingia safari hii ni awamu (timu) ya wajenzi au mafisadi (mafisi)?
 
Incapacitated ...... a failed operations by his personal physicians ..ndio tatizo la kuabudu ukabila , unashindwa kutumia watu wazuri kwa kuhofia upumbavu ...unaenda kutumia mtu ambaye hajaingia theatre muda mrefu ...
😳 Inasikitisha sana. Tangu jana nimekuwa naionaona scenario hii. Ikiwa hivyo basi siasa za madaraka ni ovyo sana hasa nikifikiria kwamba kuna uwezekano sasa wa deliberate sustenance ili kuvuta muda kukamilisha unholy moves.
 
Incapacitated ...... a failed operations by his personal physicians ..ndio tatizo la kuabudu ukabila , unashindwa kutumia watu wazuri kwa kuhofia upumbavu ...unaenda kutumia mtu ambaye hajaingia theatre muda mrefu ...

Mnhhh... Mkuu taratibu..
Unamaanisha!?
 
Usinambie wale wajeda na mibunduki yao wapo
Baba, kuna mtu anakataa kazi.. mtu haongei kinachoeleweka , miguu haifanyi kazi kwa nn tusihamishie ulinzi kwa mzima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaga bana unaweza kusema ni watu wema mno wakianza kujadili mambo ya taifa...weeeezi wakubwa hamtakaa mpewe hii nchi tutashikiana hata mitutu manina zenu
 
😂😂😂😂😂😂 wachaga bana unaweza kusema ni watu wema mno wakianza kujadili mambo ya taifa...weeeezi wakubwa hamtakaa mpewe hii nchi tutashikiana hata mitutu manina zenu
Kwani mkuu wachaga hawana sifa za kuongoza hii nchi
 
Wanaelewa ninachoongea kwa Mujibu wa Biblia inasema heri mtu mmoja afe kuliko taifa liangamie awe wa nje au mtanzania au kibaraka wa nje.Ajiandae huyo fisi au ajent wake kuuawa anytime
Kausha dogo! Ukileta vijihasira vyako vya u coward tunakukunja kama tulivyomkunja dingi wako unatulia tulii. Tulishakwambia kuwa tumebadilika this time.
 
"Lakini nataka niwaambie kwamba katika wakati muhimu watanzania kushikamana ni wakati huu, kujenga umoja, ni wakati huu"......huitaji kua profesa kuelewa hii statement!!
 
😂😂😂😂😂😂 wachaga bana unaweza kusema ni watu wema mno wakianza kujadili mambo ya taifa...weeeezi wakubwa hamtakaa mpewe hii nchi tutashikiana hata mitutu manina zenu
Hivi humu ndani tunasajili makabila yetu ....kwanini uwe na chuki hivyo na kabila na kudhani yeyote ambaye hukubali maoni yake anaweza kuwa mchagga? Hiyo chuki inatokana na nini hasa? Maana kama wizi ni tabia binafsi ya mtu....kama ambavyo wanasema sasa kuna "genge" la wezi !!!

Kama ni silaha utashika wewe mwenyewe ...,huo utamaduni wa Rwanda au Burundi kuchukiana kimakabila ila hakuna vita Tanzania ....watu wote wenye chuki na ubaguzi kwa wengine Mungu Atakata miti yao ya mikuyu !! " eeeh bwana pigana nao wanaopigana nasi.." , vita ya wenye haki hupiganwa na Mungu mwenyewe na wabaguzi wote nchi hii wataondolewa shina lao
 
"Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu"........... ?​

Back
Top Bottom