Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

Mama Samia na wengine wote wamevaa Barakoa

Hii sidhani kama ni ya leo
Ramaphosa amekuja saa ngapi Tanzania mkuu?
Miss Zomboko kwa mara ya kwanza leo nimeona mchango wako lakini ningependa kusikia machache toka kwako kuhusiana na msiba mzito wa kitaifa tuliopata; wewe kwa binafsi na maoni yako unauzungumziaje msiba huu?
 
Hii sidhani kama ni ya leo
Ramaphosa amekuja saa ngapi Tanzania mkuu?

Kuna wakati unatamani uandike neno moja limvunjie mtu heshma milele ila vidole vinakusaliti kwa kuwa wewe hu wa type hizo, inabd uishie kuliombea taifa kwa ujumla wake tu!.
 
Hii sio picha ya leo.Ni ya muda mrefu.2020 huko
A3085B54-4E66-4F38-99B1-288082438435.jpeg
A3085B54-4E66-4F38-99B1-288082438435.jpeg
 
Umbea mbaya sana hasa kwa mtoto wa kume. Hii picha ya siku nyingi.
 
Back
Top Bottom