MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Eheeeeee......Watanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Ndo manake.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eheeeeee......Watanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....
Mkuu huyo uliyem'quote hukumwelewa... Hicho ndicho alichokimaanisha....Akili yako ndogo ulifikiri Ndugulile atakuwa mbunge wa kigamboni?,ni Makonda tu,stay tuned
Kwa hiyo baada ya miaka mitano Tanzania inakwisha au siasa ndo zinaisha?Sasa hiyo siasa unayozungumzia huyo jamaa ako atachomokea wapi ? Huyo Hana impact kwa Sasa.
Old version hata kumu update haiwezekani!
Agenda ninayo iona hapa ni kutaka kumpenyeza makonda kinamna baada ya wajumbe kumvimbia.Bwashee kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mama Samia anaamini bila Makonda kutamka hayo asingekuwa VP wa JMT? Sema kuna agenda zako unataka kupenyeza hapa! Kigamboni washaamua na Jiji tayari lina RC mwingine!
This is new generation mkuu...Hizi siasa za Sasa si za kina mzee wassira ..Kwa hiyo baada ya miaka mitano Tanzania inakwisha au siasa ndo zinaisha?
Hao wanasiasa successful unaowanaona leo wote wamepitia rejection kama Makonda tu.
Kwa umri wake bado sana kwenye siasa za nchi hii.
Ni kweli huyo mama ametamka hivyoBwashee kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mama Samia anaamini bila Makonda kutamka hayo asingekuwa VP wa JMT? Sema kuna agenda zako unataka kupenyeza hapa! Kigamboni washaamua na Jiji tayari lina RC mwingine!
Huyu ni mtu "special" ktk awamu hii ya utawala wa nchi yetu, yule mwenye kutamani maamuzi ya kutoswa kwake, labda tu itokee Mkulu aondoke ktk nafasi yake ya uraisi, kwa sasa ama baadaye. Hakuna namna iwayo yoyote ile ya kuweza kumuengua, na tena kuna viashiria vilivyo na kila dalili ya kuja kukabidhiwa wizara ya mambo ya ulinzi ama ile ya mambo ya ndani.Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
" sisi "?!Write your reply..mpeni cheo kingine sisi wenye nchi hatumtaki
Siasa ni sayansi!
Bwashee uchawi ni sayansi pia!Kwa bongo ni sayansi ya uchawi,kubambikiana kesi na kuuana bwashee
Bwashee uchawi ni sayansi pia!
Mama kama anampenda sana Makonda basi si vibaya akamfanya kuwa shamba boy wake, Sisi wananchi hatufai!
Hawa vijana wa Ufipa ni kama jamii ya kambale!Wakati mwingine ni vema mbakize akiba ya maneno - kumbuka unaye msema hapa ni Makamu wa Rais, consequently she deserves 2 be respectected partsian notwithstanding.
Siasa ni sayansi!