Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

Sasa hiyo siasa unayozungumzia huyo jamaa ako atachomokea wapi ? Huyo Hana impact kwa Sasa.

Old version hata kumu update haiwezekani!
Kwa hiyo baada ya miaka mitano Tanzania inakwisha au siasa ndo zinaisha?

Hao wanasiasa successful unaowanaona leo wote wamepitia rejection kama Makonda tu.

Kwa umri wake bado sana kwenye siasa za nchi hii.
 
Bwashee kwa hiyo unataka kutuambia kuwa mama Samia anaamini bila Makonda kutamka hayo asingekuwa VP wa JMT? Sema kuna agenda zako unataka kupenyeza hapa! Kigamboni washaamua na Jiji tayari lina RC mwingine!
Agenda ninayo iona hapa ni kutaka kumpenyeza makonda kinamna baada ya wajumbe kumvimbia.
 
Kwa hiyo baada ya miaka mitano Tanzania inakwisha au siasa ndo zinaisha?

Hao wanasiasa successful unaowanaona leo wote wamepitia rejection kama Makonda tu.

Kwa umri wake bado sana kwenye siasa za nchi hii.
This is new generation mkuu...Hizi siasa za Sasa si za kina mzee wassira ..

Note that!
 
Write your reply..mpeni cheo kingine sisi wenye nchi hatumtaki
 
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "

Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.

Source TBC

Maendeleo hayana vyama!
Huyu ni mtu "special" ktk awamu hii ya utawala wa nchi yetu, yule mwenye kutamani maamuzi ya kutoswa kwake, labda tu itokee Mkulu aondoke ktk nafasi yake ya uraisi, kwa sasa ama baadaye. Hakuna namna iwayo yoyote ile ya kuweza kumuengua, na tena kuna viashiria vilivyo na kila dalili ya kuja kukabidhiwa wizara ya mambo ya ulinzi ama ile ya mambo ya ndani.
 
Naibu Raisi alimtabiri Makamu wa Raisi

Mama anajaaribu kutuandaa kisaikolojia
 
Wakati mwingine ni vema mbakize akiba ya maneno - kumbuka unaye msema hapa ni Makamu wa Rais, consequently she deserves 2 be respectected partsian notwithstanding.
Hawa vijana wa Ufipa ni kama jamii ya kambale!
 
Mwamba tunamkubali sana si aje kwetu huku. Kigamboni tunawaonea wivu
 
Back
Top Bottom