Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Mbona kule cdm Nyalandu anaongoza kura za wajumbe lkn kamati kuu inaangalia kufyekaAgenda ninayo iona hapa ni kutaka kumpenyeza makonda kinamna baada ya wajumbe kumvimbia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kule cdm Nyalandu anaongoza kura za wajumbe lkn kamati kuu inaangalia kufyekaAgenda ninayo iona hapa ni kutaka kumpenyeza makonda kinamna baada ya wajumbe kumvimbia.
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
...🤔🤔🤔...Akili yako ndogo ulifikiri Ndugulile atakuwa mbunge wa kigamboni?,ni Makonda tu,stay tuned
ametumwa huyu mama, si bure!Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Kuna aliyeshika mpini wa kisu wengine wote wako kwenye makaliIla awamu hii siasa ni mabavu.
Siasa ni sayansi!
Ilikuwa kabla hajamshindilia magumi Mwenyekiti wa Time ya Katiba na ni Wabumge wa CCM kama kawaidà yao hawatumii akili kufikia uamuzi wowote Mwanachama wao au Chama ndo wote walishangilia. Mama anatoa agizo toka juu kutaka afikiriwe kupendekezwa baada ya kibarua kupotea ikiwa ni fadhila kwa mhusika kupokea agizo toka juu kufanikisha kuteuliwa kwake. Msg sent and received ndo maana hata Ofisi hajakabithi akitegea uamuzi wa mwisho unaotegemea siku maana siku zote si sawa.Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Kumbuka Ubunge unapingwa Mahakamani .Hii taarifa kama itakuwa ni kweli
Basi makonda soon anaenda kuwa soon mbunge wa kigamboni
Na yeye leo anajaribu kutuambia Makonda anafaa kuwa nani?Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT "
Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa JKNCC jijini Dsm leo.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama!
Hivi Mbunge ana nguvu kuliko Mkuu wa Mkoa ?Tuleteeni makonda kigamboni iwe km Paris
Nyie wajumbe wa jf msituletee uchawi,
Naamin kamati kuu ndo kila kitu na watatuletea mtu wetu,
Kigamboni itawaka moto,
Watanganyika mshaanza kuandaliwa kisaikolojia na Wakulu wa ofisi kubwa....